Izo ziko zaidi kwenye vituo vikubwa vya kushushia abiria ili wasigongwe na magari au sehemu zenye stipslope kama ya pale bondeni mbezi...nothing is special abt foot bridgeMaybe huko bongo kwa sababu naona mnaweka hadi cables zisizokuwa na maana wowote
Kama hii ime-cost $2.7mln!Hizo zimeletwa nyingi sana hapa. Pekua kurasa za nyuma utaziona. Thika road stretch alone has close to 20 of them
Kwani lengo la footbridge ni nini kama sio kuzuia ajali kama vile umesema. Ama Unaposema there's nothing special about them unamaanisha niniIzo ziko zaidi kwenye vituo vikubwa vya kushushia abiria ili wasigongwe na magari au sehemu zenye stipslope kama ya pale bondeni mbezi...nothing is special abt foot bridge
Sio kila mahali unaweka ,zebra cross zinatosha tu baadhi ya sehemuKwani lengo la footbridge ni nini kama sio kuzuia ajali kama vile umesema. Ama Unaposema there's nothing special about them unamaanisha nini
Zinaweza kuwa baadhi ni madoido, kwamba zipo cables zinazo cancel each other out (tension wise). Madaraja mengi ya kisasa yapo hivyo.😂 😂 😂 Are those cables part of structural engineering ama ni madoido tu?
In kenya,zebra can't work...jamaa ni zero kabisa hawaheshimu Sheria & disorganizedSio kila mahali unaweka ,zebra cross zinatosha tu baadhi ya sehemu
You can't put zebra crossing on a busy highway of more than four lanes. That's a death trap. In Nairobi, footbridges are erected on busy highways, not just any other road.Sio kila mahali unaweka ,zebra cross zinatosha tu baadhi ya sehemu
As long as hiyo pillar hapo katikati ya barabara iko, those cables play no role at all coz they are not suporting the bridge deck. It's just a beatification thing but there's nothing wrong with thatZinaweza kuwa baadhi ni madoido, kwamba zipo cables zinazo cancel each other out (tension wise). Madaraja mengi ya kisasa yapo hivyo.
Most of your foot bridges ziko thika road ?As long as hiyo pillar hapo katikati ya barabara iko, those cables play no role at all coz they are not suporting the bridge deck. It's just a beatification thing but there's nothing wrong with that
Na ndio maana wakiwa kwenye nchi za watu Wakiambiwa watii sheria huwa wanaona wanaonewa 😂😂😂In kenya,zebra can't work...jamaa ni zero kabisa hawaheshimu Sheria & disorganized
No, on all major roads. Mombasa road, Outering road, Jogoo road, Thika road, Lang'ata road, Ngong road.... The list is endless. But Thika road has many footbridges than any other considering it's length (50 kms) and size (ten lanes in some sections minus service lanes)Most of your foot bridges ziko thika road ?
Hii level ni ndoto ya kutisho kwa majilani
Bongozozo mzee wa Kijogoo aka fujo isiyoumiza