Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The giants are getting clothed. Ile kelele ya TPA tumezika kwenye kaburi la sahau
 
Dar is no longer a capital City don't u know? There's a new well planned Tz capital City and it's Dodoma, ofcz I was talking about the new Tz and not that of 7 years ago I think you are already know what it is though u act craziness
Is this thread about Dodoma? Where in my post did I mention the word 'capital city' if it's not your own creation? So in short, you are agreeing that your Commercial capital Dar is a mess and you are now building a new well planned capital in Dodoma? Well, good luck. So don't you ever again compare your filthy unplanned city with Nairobi
 
Mkuu uwe unasoma vzr comment kabla ya ku quote nilikuwa namuelimisha ndg yko kuwa asituletee mambo ya mwaka 2012 leo tunaongelea Tz mpya Tz ya viwanda Tz yny BRT stigler's gorge, yny new capital City (Dodoma) yny electric train n.k
Ss ww ukadandia treni kwa mbele ukazan naitaja Dodoma kwenye ulingo huu, by the way mwakani co mbali ata ww utatuachia uzi wetu huu tutabaki wabongo peke etu tukijadili jnc ya kupambana na level zetu RSA na Nigeria
 
Nadandia treni? Can you confirm who you quoted in that post kabla utoe povu. I am the same person you quoted so Wacha kuweweseka. Naona konyagi inakupeleka vibaya hii weekend. In the meantime, Endeleeni kujenga "viwonder" πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nikikuonyesha comment ya mtanzania mwenye mahaba na rais kenyatta na kenya yote pia yupo tayari ku relocate..utakasirika
 
Kwhyo hzo nyumba zimebomolewa zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nikikuonyesha comment ya mtanzania mwenye mahaba na rais kenyatta na kenya yote pia yupo tayari ku relocate..utakasirika
Tizama hii video huku ukisoma sindano mnazopewa na wenzako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Niko sure utakosa usingizi ukisoma comment za hii video,
Alafu cha ajabu Niliona iko trending hadi huko kenya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Tizama hii video huku ukisoma sindano mnazopewa na wenzako [emoji23][emoji23][emoji23]
Niko sure utakosa usingizi ukisoma comment za hii video,
Alafu cha ajabu Niliona iko trending hadi huko kenya [emoji23][emoji23][emoji23]

Umekwepa swali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
jamaa kapost pic ya gari lina tv ndani.. kaulizwa swali lile ni van au bus.. kashindwa kujibu.. anabwabwajabwabwaja tu [emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
jamaa kapost pic ya gari lina tv ndani.. kaulizwa swali lile ni van au bus.. kashindwa kujibu.. anabwabwajabwabwaja tu [emoji23][emoji23]
Tv nyuma ya viti hta matatu za kupiga misele mijini zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…