Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So what has changed between then and now apart from building a brt system that snakes its way through uswazi? Has Dar become a better planned city??
Vitu vingi sana havikuwepo hiyo 2012,
Mfano BRT,
Tuko na uswazi lakini hatuna slums, wala nyumba za mabati kama kwenu watu kunya kwenye flying toilets
 
Vitu vingi sana havikuwepo hiyo 2012,
Mfano BRT,
Tuko na uswazi lakini hatuna slums, wala nyumba za mabati kama kwenu watu kunya kwenye flying toilets
You've just confirmed what I said. you have built just brt. nothing much has changed and these pictures below can confirm this. Dream houses in every corner. Show me any earial photo from Nairobi that looks like these places below apart from slums like kibera and the rest
 
Ni hii tu kila siku mnairudia, Inawezekana ipo kwenye showroom
 
Endelea kuokota okota picha ili ujifariji,
Tulishakupa video ya hayo maeneo hukuangalia kwa sababu hutaki kuaibika,
Slums zipo Nairobi pekee kila kona,
Ukitaka nenda Google Map search slums in Dar es salaam kisha ulete hapa kisha tena Search slums in Nairobi kisha lete hapa screenshot 😁😁😁😁 i know huwezi.
 
Go to the same Google Maps you are quoting here and show me anywhere in Nairobi apart from the slums that look like those places I posted above. It's that simple. Outside the slums, this is how the rest of Nairobi looks like. And these are just normal estates, mostly in eastlands. Show me anywhere in Dar that looks or even comes close to these places below

 
Ni hii tu kila siku mnairudia, Inawezekana ipo kwenye showroom
Naona dawa imekuingia vizuri sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ Ukiwa Na Shilingi elfu tano (za Kenya of course) come enjoy a ride from Nairobi to Mombasa hata kesho. In the meantime, endelea kutuonyesha screens kwenye backseats za gari, which nearly all matatus in Nairobi have
 
Unaambiwa lete hichi wewe unaleta kile.
 
Aysee we jamaa cjui wawap ww yn unaongelea vtu vya miaka 7 iliyopta cc apa tunaongelea Tz mpya Tz ya viwanda we unaongelea Tz ya jembe la mkono kwel umefeli mzee[emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu amka now we are talking about Tz with electric train, stigler's gorge, BRT, new n well planned capital city we unaongelea Tz ya wapgaji mzee amka kumekucha waulize wakenya wenzio kwnn wanahof na Tz ya ss watakujibu
 
Wewe endelea kufarahia screen kwenye backseat ya gari. Those are very normal things in Kenya. Matatu za Nairobi karibu zote ziko nazo.
Weka picha, acha porojo..unaweka picha za kuungaunga unadhani unaweza kudanganya nani?..labda nyani wenzako
 
Kwani dar Ni manzese na mwananyamala tu au akili zako zimeganda?
 
Kwani dar Ni manzese na mwananyamala tu au akili zako zimeganda?
Na Aliyewaambia Nairobi ni kibera tu ni nani? This is how small (or should I say big?) Kibera is in relation to the rest of Nairobi. But to danganyikans, kibera is so big that it covers a half of Nairobi. To these species of prople, such a small area actually holds 2.5 million people! Wajinga bado wako wengi duniani
 
Of course Tanzania ni nchi ya "viwonder" as seen below πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ€£πŸ˜³πŸ€”πŸ€£πŸ˜³πŸ€”πŸ€£

And why are you talking about seven years while we all know that one the buildings standing out in those pictures, the TPA, was built less than four years ago??? And how do you say that Dar is now a better planned city? How do you build first then plan later? I thought that planning comes before building! You cannot build first then plan later. Or do you want us to believe that all those buildings captured in those pictures were brought down between 2012 and now and new ones built in their places in a planned and organized manner? You guys never cease to amaze with these unending flimsy excuses. Kubalini tu kwamba your city, the New York of Africa, is a mess mambo yaishe
 
Ww unatuletea hzo hiace 😁😁😁 nimekwambia tuletee bus zenye luxury equipments kama shabiby kenya nzima
 
Aysee we jamaa cjui wawap ww yn unaongelea vtu vya miaka 7 iliyopta cc apa tunaongelea Tz mpya Tz ya viwanda we unaongelea Tz ya jembe la mkono kwel umefeli mzee
6
Mkuu amka now we are talking about Tz with yaishe
 
Dar is no longer a capital City don't u know? There's a new well planned Tz capital City and it's Dodoma, ofcz I was talking about the new Tz and not that of 7 years ago I think you are already know what it is though u act craziness
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…