Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona sasa umuite mwenzako "mlupo" yani kw kusema ukweli ndio uumie hvo
Mimi naishi mbezi beach, nimetoka kuulizia sasaiv unga ni tzs 3200 for 2kg (1600@1kg) na huyo mlupo hajatuletea vyanzo vya kuaminika kuwa unga kwao ni ksh 127
 
Mimi naishi mbezi beach, nimetoka kuulizia sasaiv unga ni tzs 3200 for 2kg (1600@1kg) na huyo mlupo hajatuletea vyanzo vya kuaminika kuwa unga kwao ni ksh 127
I know you don't believe your eyes. These are Jumia prices of different brands of flour as at today, also remember that the price include delivery fee from the shop to your house.
 
80 kw vibanda watoto wa chuo wanapiga ugali nyama....
100 wanapiga sahani yao ya pilau + zaga zaga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uache kuhadisiwa jomba...
Nilikosea ni ksh50 siyo 90 dar ugali na mboga 4 hadi 5 ni ksh45
 
Nanunuaga 1 litre karibia kila siku...80 tu, mwnywe najiburudisha..
Hivi wakenya huwa mnatusema sisi watz kuwa atutembei mbona hata nyinyi amjui chochote tz soda ya fanta 250ml ksh24 sawa na tsh500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…