Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Enedelea kuunga juhudi, watu wa lumumba bana
Hv nyie viumbe hamna pcha zngne mana daily ni hz hz kwn nairoba haina majengo mengine haya tumeshayachoka daily KICC mbn wenzenu wa Tz wanatupia majengo tofauti tofauti tena mengine ata me mwenyewe mTz nlikuwa cyajui
 
Msikieni huyu...wakati mnapost building's tatu kila siku
Hv nyie viumbe hamna pcha zngne mana daily ni hz hz kwn nairoba haina majengo mengine haya tumeshayachoka daily KICC mbn wenzenu wa Tz wanatupia majengo tofauti tofauti tena mengine ata me mwenyewe mTz nlikuwa cyajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…