Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,430
Hahhahahahaa! Wallahi sijaona wazimu kama wewe!! Yaani unaweza sema hiyo miguu inakaa fimbo za kucheza gofu!!!?? Miguu za mademu wa kibongo zimenona??hao mademu wabovu cheki miguu imekonda ipo kama fjmbo za golf
uje unijibu ukiwa umejipanga kisawa sawa.vinginevyo utaishia kuaibika.pia wakati unapitia picha na comment zangu kwenye thread hii na ile ya azam tv,hakikisha unaweka maelezo ya uhakika kuhusu digisuper lens kuwepo kenya.
nenda kajibu kule kwenye thread yangu kama kweli unajiamini.[emoji23] [emoji23]Achana na mambo ya digisuper bana! Si ya msingi hataa!!
warembo wa bongo miguu mizuri unakutana na mrembo ana mguu wa bia ...unavutia siyo haoHahhahahahaa! Wallahi sijaona wazimu kama wewe!! Yaani unaweza sema hiyo miguu inakaa fimbo za kucheza gofu!!!?? Miguu za mademu wa kibongo zimenona??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]hao mademu wabovu cheki miguu imekonda ipo kama fjmbo za golf
Naona mlishinda kwa Mnara sio lingineThis Tower in Nairobi, Britam tower
Did you know;
That this tower and Charlton Tower SA are the only official skyscrapers in Africa so far??
Did you know:
That this tower is the only tower in Africa to win the American Architectural Award of the year??
Britam Tower Nairobi, waiting to be dethroned by a tower 500M away, Hass
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ugly building ever yani nashinwa kuelewa ili jengo it's better ata picha zake msiweke , huu mnara wa babeli , half building half antenna[emoji2] [emoji2]
Diamond angeshindwa kuzungumza kiswahili ningeshangaa lakini kingereza wala sishangai sababu sio lugha yetu .mbona hata ninyi kiswahili kinawapiga chenga kuanzia Uhuru na nguruwe wake
Unajua wewe huwezi elewa mambo hayo ya Building technology. Achia wadau wakujuze!Naona mlishinda kwa Mnara sio lingine
Tulia pilipili iingie kwenye haga...Ugly building ever yani nashinwa kuelewa ili jengo it's better ata picha zake msiweke , huu mnara wa babeli , half building half antenna[emoji2] [emoji2]
umo dizain ya watu kama edward na mzee wa iphone7 hawaruhusiwi kuingia....sababu ni washamba kupindukiaprincess casino bongo