Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mhindi..endelea kupiga hela
 
Dah !!! Mkiitwa monkey mnalalamika Kenya IPI hiyo unayo zungumzia ambayo mkoloni kaondoka unajua kwanini mlipo ulizwa kuhusu kutokuwa saidia waafrica wenzenu kupigania Uhuru mkasema amkuwasaidia Kwa sababu hata nyinyi mlijipigania wenyewe ,sasa swali la msingi ndiyo ili kama kweli Kenya ilipata Uhuru kweli?? Iweje kenya kushikamana na MKOLONI aliye waua wakenya mara tu yakudaiwa imepata uhuru na kukataa kuwasaidia waafrica waliokuwa wanaendelea kuuliwa na wakoloni !!???
Hivyo tunapo sema Kenya imejengwa na mzungu ni kwasababu Kenya ni taifa teule la mkoloni hata sasa
 
With Tanzanian passport n most important the largest catamaran boats owner in Africa!
It's amazing how you are good at defending your shit. Ingekuwa ni kenya mngesema vile uchumi wetu inamilikiwa na wazungu na wahindi
 
Wewe akili zako kama kisoda, ndiyo maana kila kitu unachofanya unahitaji alarm ikukumbushe. 24/7 alarm yako ipo on ata time ya kwenda kumanga ume set alarm [emoji38]
Yes, that alarm was set to remind you to shut the hell up and deal with your LDC problems 😂 😂 😂 😂
 
Mbna zari aliposema watoto wa fiamond ni wa south africa ccm ikapiga kelele na kudai eti ni wa tanzania...
Hapo walikua wanamaanisha nn wakati mama yao ni raia wahko
Atuna urahia pacha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Heheeee!!kwn delamere ndio ana passport ya somalia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...

Km mtu n mhindi ni mhindi tu..
With Tanzanian passport n most important the largest catamaran boats owner in Africa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…