Kuna ushabiki wa kijinga ulionao kichwani ambao lazima nikwambie. Nimemuelimisha kondoo wenu kuwa that is not the only building capable of being illuminated that way in East Africa halafu wewe unakuja na jazba zako kuniambia kuwa hatuna teknolojia ya kufanya vivyo hivyo. Usijiaibishe tafadhali! hata kama sikufahamu lakini kwa mtazamo wangu nadhani nimeona maghorofa marefu yakiwa illuminated kabla yako na haimaanishi kuwa Tanzania hatuwezi kufanya hivyo. Na hata hivyo, how does illumination make nairobi any better? inaongeza nini au kupunguza nini? acheni USHAMBA!Shida yenu ni kusema "pia sis tuaneza fanya hivyo" lakini hakuna siku mshawahi fanya. Hii technology ni geni kwenu, kuja Nairobi usiku uone vile buildings zinaglow. Hapa ni Tokyo babaaa
Obama was here last year,and FYI i never said he is a Kenyan i said his father was a Kenyan however the man always says he is a Kenyan but we never ask him to brag about it,so whatever you are consuming is either illegal or harmful to your health.how about 2013 for 80% ukicompare na sasa 2018-2019, kwenye tourism,,,?..au obama kashakufa.....?.... vipi hamkuona umuhimu wake mpaka alipokuwa president....?
ila unanisikitisha mzee unajaribu kufunika kombe ila haupo serious unaongea ujinga ndiyo maana obama aliwakataa kwa kusema yeye ni mmarekani na si mkenya maana mnaujinga mwingi[emoji2][emoji23][emoji23]
nyie wakenya ni wanafki
Tanzania ni njema atakaye naaje, unforgettable 💪
I am so sure you are a retard!.....what a waste![emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sikuzote mjinga atabaki kuwa mjinga tu....
umefanya nikucheke sana aisee
"We never ask him to brag about it" 😂 😂 😂 😂 😂 this is the funniest thing I've read today. Ukiwa na nani ndio mnafikiri kutomuask kubrag about being Kenyan? bibi yake? Michelle? Natasha? Malia?Obama hata hakujui yaani.Obama was here last year,and FYI i never said he is a Kenyan i said his father was a Kenyan however the man always says he is a Kenyan but we never ask him to brag about it,so whatever you are consuming is either illegal or harmful to your health.View attachment 1222653
halafu wanakuja wapuuzi wanataka kuicompare KIA na sirport iliyopo Mombasa
Tana River bridge...😂😂😂👇👇👇 Show me a car crossing that bridge...Hivi kweli gari zinapita hapo...Huoni hata aibu kuweka hako kadaraja...😂😂😂Badala ya kujaza povu ningeomba uje na facts kwanza. First, both Kigamboni and MSA gate pass over creeks. However, the Mwenza Creek of MSA is much deeper compared to Kurasini ya Kigamboni. Actually, its depth is more or less like that of an average river that's why they opted to have 14 pillars which is simple, less sophisticated and of course much cheaper. Yaani kuchimba tu and kujaza korogo 🤣 🤣 It's length is exactly 680M and a width of 22m. For MSA gate, there's a lot of sophistication considering its height. Nusu ya hizo skyscrapper zenu nne. It's also important to note that it's 2M wider than Kigamboni. For MSA Gate, the Mwenza creek alone 600M wide hence the span between the two pillars. So I wonder hii data ya 450M umetoa wapi. Most likely ni ya kupika kwenye photoshop ili kumfurahisha mtukufu JPM. The rest of the distance to make it 1.4km is on the shores because of its elevation. It's not as short as you protray kwa hiyo drawing yako.
View attachment 1222557
Hii Kigamboni labda ibishane na Nyali bridge (six lanes). Ile kitu imekosa ni hizo cables tu. Interestingly span yake ndefu kabisa ni 150M over 40M za Kigamboni which puts into question the need for those cables. Ama ni maua tu? the best designed bridge EA ndo hii hapa juu ya Tana River (Kenya).
View attachment 1222587
Unaweza kukuta $100mln zimetumika!Tana River bridge...😂😂😂👇👇👇 Show me a car crossing that bridge...Hivi kweli gari zinapita hapo...Huoni hata aibu kuweka hako kadaraja...😂😂😂View attachment 1222670
Umesha nunua simu nyingine au bado pesa yako unaitumia kununua bangi...??😂😂😂 Naona wewe mgomo haukuhusu😂😂😂The King of East Africa. View attachment 1222692
Yan wakenya bana yani kwenu inaonekana rangi ni kitu ya ajabu Sana Sasa Hapo Nini kinastaajabisha.The King of East Africa. View attachment 1222692
Kuna ushabiki wa kijinga ulionao kichwani ambao lazima nikwambie. Nimemuelimisha kondoo wenu kuwa that is not the only building capable of being illuminated that way in East Africa halafu wewe unakuja na jazba zako kuniambia kuwa hatuna teknolojia ya kufanya vivyo hivyo. Usijiaibishe tafadhali! hata kama sikufahamu lakini kwa mtazamo wangu nadhani nimeona maghorofa marefu yakiwa illuminated kabla yako na haimaanishi kuwa Tanzania hatuwezi kufanya hivyo. Na hata hivyo, how does illumination make nairobi any better? inaongeza nini au kupunguza nini? acheni USHAMBA!
taka taka hii ndo unataka kufananisha na kigamboni bridge? 🤷🏾♂️Badala ya kujaza povu ningeomba uje na facts kwanza. First, both Kigamboni and MSA gate pass over creeks. However, the Mwenza Creek of MSA is much deeper compared to Kurasini ya Kigamboni. Actually, its depth is more or less like that of an average river that's why they opted to have 14 pillars which is simple, less sophisticated and of course much cheaper. Yaani kuchimba tu and kujaza korogo 🤣 🤣 It's length is exactly 680M and a width of 22m. For MSA gate, there's a lot of sophistication considering its height. Nusu ya hizo skyscrapper zenu nne. It's also important to note that it's 2M wider than Kigamboni. For MSA Gate, the Mwenza creek alone 600M wide hence the span between the two pillars. So I wonder hii data ya 450M umetoa wapi. Most likely ni ya kupika kwenye photoshop ili kumfurahisha mtukufu JPM. The rest of the distance to make it 1.4km is on the shores because of its elevation. It's not as short as you protray kwa hiyo drawing yako.
View attachment 1222557
Hii Kigamboni labda ibishane na Nyali bridge (six lanes). Ile kitu imekosa ni hizo cables tu. Interestingly span yake ndefu kabisa ni 150M over 40M za Kigamboni which puts into question the need for those cables. Ama ni maua tu? the best designed bridge EA ndo hii hapa juu ya Tana River (Kenya).
View attachment 1222587
Mkenya mwenzio huyuShida yenu ni kusema "pia sis tuaneza fanya hivyo" lakini hakuna siku mshawahi fanya. Hii technology ni geni kwenu, kuja Nairobi usiku uone vile buildings zinaglow. Hapa ni Tokyo babaaa
Mtaishia kuyapodoa lakini Dar iko juu yenyu[emoji38]The King of East Africa. View attachment 1222692
Is it a temporary bridge?taka taka hii ndo unataka kufananisha na kigamboni bridge? [emoji2377]View attachment 1222767
Tatizo ni undumilakuwili!Any reputable forum around the world huwa watu wana compare notes kwa kuwa waeza pata mahali ambapo wanakosea ama kuona mahali ambapo they're on a good track. Na pia kuweza kuulizia majibu ya mambo ambayo hawaelewi. Lakini mkibashana tu unadhani tutaeza aje pogress ama itakuwa kujaribu kuvutana chini? kitu ambacho tunajua vizuri "there's power in unity" na pia "when you run alone, you run fast, but when you run with other people, you run far." For instance, you're in a hurry to build an SGR to win over Kenya's business from C. Afrika. Same goes for airlines; they're becoming too many and the worst thing is that they're being supported by governments instead of bringing revenues to the governent. We seem to forget a simple business principle of "economies of scale." We might think that we are progressing, lakini its simply the foreigners who are trying to make the movements of their products and business more efficient throughout the African continent. Kwa mfano, mbona wanatupa loans na bado wanaleta imports zinazouwa viwanda vyetu? wanasema huezi kuingia soko zao bila kupartner na local companies but wanatilt deal to their favor, yet wanakuja hapa na kutupatia a token of what they take back. Tunafaa kujiuliza vipi tutatua mambo kama hayo kwa ukanda wetu bali si ubishi.
Ila unajitahidi sana kuchukua muda wako kuandika long meseji bila kuwa na point zenye nguvu au ni ugeni huu mtaaAny reputable forum around the world huwa watu wana compare notes kwa kuwa waeza pata mahali ambapo wanakosea ama kuona mahali ambapo they're on a good track. Na pia kuweza kuulizia majibu ya mambo ambayo hawaelewi. Lakini mkibashana tu unadhani tutaeza aje pogress ama itakuwa kujaribu kuvutana chini? kitu ambacho tunajua vizuri "there's power in unity" na pia "when you run alone, you run fast, but when you run with other people, you run far." For instance, you're in a hurry to build an SGR to win over Kenya's business from C. Afrika. Same goes for airlines; they're becoming too many and the worst thing is that they're being supported by governments instead of bringing revenues to the governent. We seem to forget a simple business principle of "economies of scale." We might think that we are progressing, lakini its simply the foreigners who are trying to make the movements of their products and business more efficient throughout the African continent. Kwa mfano, mbona wanatupa loans na bado wanaleta imports zinazouwa viwanda vyetu? wanasema huezi kuingia soko zao bila kupartner na local companies but wanatilt deal to their favor, yet wanakuja hapa na kutupatia a token of what they take back. Tunafaa kujiuliza vipi tutatua mambo kama hayo kwa ukanda wetu bali si ubishi.
That's a blonde tweet as much as she's a doctor akisaidiwa na wenye wanamsupport. Ona hapo kwa thread kunaye amesema "...this bridge daen look like it is in a deep channel and on the path for docking ship...looks like a well done Nyali bridge,might be wrong though. at likoni they might have to get the bridge way high." Juzi Rwanda wamejenga arena na Kenyans were all over criticizing the government forgetting we built Kasarani way back in 1987 and it's still strong and attractive till date. Kwanza they can't even turn up to support local sports kazi kutweet na hawatembei