Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

povu la malaya aliyekosa kulipwa pesa baada ya kuliwa tuta......
so sorr my jirani[emoji2][emoji2]
That language is uncalled for. I refuse to be drawn to such. Clear ad hominem when cornered. Jadili hoja usikike sio kumrushia matusi aliyetoa hoja, hilo halichangii popote katika kuinua uhadhi wa hoja zako.
 
Naona sura za waAfrika tu hapa



Jameni tukisema huku ni ulaya hatuwatanii



Nchi ya Tusker na burudani 😎😎😎 mind you hii rooftop club and pool ya mall ingine. Bado naona tu waAfrika wakipiga sherehe





Nakuru town haina hadhi kama Mombasa wala Kisumu lakini flyover za kisasa zipo na zinatumika, hapa hamna story ni kujenga tu




Bado Nakuru town (not City) Hii mechi naonelea iwe ya Dar vs Nakuru 🀣🀣



Thika Town hapa chini mji mdogo lakini standards international. Naona sura za kiAfrika bado.


Eldoret town hii hapa ina 3* standards za hizo 5* za Dar mnatuonyesha hapo. Flyover ingine mega iko under construction huko.
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hiyo sasa hivi ni all Kenyan cities combined vs Beautiful Dar es salaam πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
not sure if this happens in Kenya
Mambo ya kawaida kaka. Am searching for a documentary I was watching a while back on the e-doctor thing in Kenya which is done in rural areas. Anyone with a link you can share. We're now focusing on Universal health Care. Yaani bima ya afya kwa wote in addition to the existing NHIF
 
Kwa hiyo sasa hivi ni all Kenyan cities combined vs Beautiful Dar es salaam πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
haha, namaanisha hii competition mnafaa kushindana na towns zingine za Kenya lakini si Nairobi.
 
haloooo haloooo ndugu wateja wetu pendwa treni yetu itaanza safari mda si mrefu toka hapa station ya nairobi hadi mombasa.....halooo haloooo mnanisikia haloo haloo ngoma battery low...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

haloo halooo karibuni sana......

local treni local life,local sgr local peoples [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakenya mnavisa sana kama mmeshindwa kuutouch speakears mngekausha tu kuliko hivyo maana mnatuletea haibu east africa
 
jionee tofauti






 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…