Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The same world bank ikisema tz is an ldc wanapinga........these tanzanians though !!!smh
Nairobi had real estate construction projects worth $6bn in the pipeline by the time of Kidero's departure .That's almost half of Tz annual national budget so your point is moot.
 
Nyie mkionyesha nairobi ni britam na Times peke ake, hakuna majengo mengne mayb wachina wakimaliza majengo yao mtakua na cha kuonesha
Mtalia sana.First ilikua kenya imejengwa na mzungu sasa vizazi vyenu vitasema kenya ilijengwa na mchina.The constant thing ni eti Kenya inazidi kwendelea na tz wanazidi kulia na kuteta
 
Ujinga upi wakati kila mwaka mnapokea misaada ya chakula [emoji51][emoji51][emoji51]
Kutokana na uzembe wenu, ingia kwenye hiyo tweet usome comment za wakenya wenzako.

Hata Marekani pia walipokea misaada kutoka nchi mbali mbali baada ya hurricane Katrina kuleta maafa makubwa New Orleans (Qatar donated $400m ) kwa hivyo wacha ujinga na ujuaji mwingi.
 
Ushawahi kuta tukijisifia ujinga [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie mnajisifia ujinga huku mkipokea misaada ya chakula kutokana na njaa kuwachapa kila siku,
UAE ni jangwa karibia yote lakini walitoa msaada wa chakula kenya ambayo sio jangwa,
Ldc but wananchi wake hawana njaa,
Yaani hadi siku hizi mnaogopa kuniquote [emoji23][emoji23][emoji23]
The same world bank ikisema tz is an ldc wanapinga........these tanzanians though !!!smh
 
Ok mr dreamhouses.......those are squalors. You call apartments in dandora and huruma slums but anything in dar isn't.....its your fucking city for all we care but ugly as **** anyway
May be Dar is ugly but nairobi is the ugliest full of dream vibandas everywhere
 
Oh my!!project ya kibera na ya affordale housing zinahusianaje...
My friend..punguza konyagi please
Haha konyagi siachi mpaka niishushe ile njemba mikono chini. Halafu nyagi huku ni kitu ya kawaida Sana. Sio huko mnaitukuza Kama cognac ya Ciroc vile..maana mmezoea chang'aa

Back on biz, hizo flats kibera ni mali ya nani? Plus zile nyingine zaidi ya 40+ houses. Niambie zilijengwa kwa mradi upi kama sio huo wa cheap houses. Link niliyokuwekea hapo inayo hadi hayo mapicha yako ya kibera. Serikali inajenga vipi bila kupata Hati kwanza? Au ndio upigaji tu.

Bongo hapa ardhi ni mali ya serikali inajenga popote tu ikiamua. Hizo flat zote hadi serikali ilipe compensation ipate hati najua gharama itazidi hela za kujenga hizo flats. Hence uhuru ataendelea kuwa baba yenyu. Na vile anataka kutengeneza u-putin na u-medvedev na u-kabila na u-tshekedi.. Mpo nae sana huyo.
 
watayajua wapi hayo history yao wanayoijua ni mau mau tu hapo ndipo walipoishia ,,yaani upuuzi wawakenya hakuna wanachoelewa kuhusu africa history challanges na ukombozi kwa ujumla yaani hawajui vyanzo vya michakato mingi sana kuhusu vilivyopita mi huwa nawaita STUPIDITY KENYAN[emoji28]
 
hakuna unalojya mzee hebu kale githeri kwanza kisha kasome historical indeep vizuri zaidi...

Tz ni nchi yenye ushawishi mkubwa wakimataifa kuliko ninyi kenyan chokoraa[emoji16]
 
Ushawishi ulifanywa na Tanzania pale Addis ilikupata kura nyingi za nchi za Afrika na Nyerere alishawishi nchi wanachama wa NAM (non aliment movement). Hivi ninyi kama nchi mlishawahi kushawishi nini, kikafanikiwa?
hapo sasa unabaka mtu,,,maana kipindi hicho wenzetu walikuwa bize kwa kujifunza english...huku wakishikwa shikwa makalio[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…