We do have state lodges all over the country. This state house is of historic importance for crying out loud! if the president of the United Republic of Tanzania uses it a couple times a year then it is not used to its fullest! Think of it as a huge mansion that you will have to use less than ten times a year and yet still pay lots of money to keep it standing!It can act as a state lodge instead of change of use. In kenya, there are state lodges in Mombasa and kisumu
We were talking about New York City and NOT New York state. If you think that you were right then tell me the exact location of those maps you showed us. I'd be happy to check them out myself.Ni swali gani hapo nimekwepa jamani? You've even confirmed that some people live in Upsate and still consider themselves New York residents.
Sure mkuu, tushikamane tusitengane.Huyu magu inabidi aongezewe hata miaka 10 mingine,huyu mzee ni mwamba japo alinitumbua kwenye kitengo changu lakini simchukii, namkubal tu
Ila kama watafikiria zaidi faida watakazozipata kwa mapato ya takayotokana na uwekezaji wa hilo eneno ni bora hata waka reallocate sehemu ya kupumzikia mkulu anapokuja Dar na kuliacha jengo kua makumbusho na kuruhusu towers zingine ziote given that tayari wanaunganisha selander bridge na ocean road, itakua ni kupoteza opportunity ya mapato na upendezeshaji wa jiji la kibiashara. Walifikirie hili mkuu kama kweli wana nia ya kuhakikisha DSM isiwe na mshindani EANa Rais akija Dar afikie hotelini sio? Ikulu is a landmark building for our nation with significant importance. Therefore I don't support any changes on its use including its gardens.
Tatizo ni kufikiri towers ndo zitapendezesha eneo linalopendeza lilivyo sasa! Mimi nitapenda likibaki kama lilivyo! Lina historia kubwa ya nchi hii! Nyumba ya George Washington na Ikulu ya kwanza ya US zote bado zipo!Ila kama watafikiria zaidi faida watakazozipata kwa mapato ya takayotokana na uwekezaji wa hilo eneno ni bora hata waka reallocate sehemu ya kupumzikia mkulu anapokuja Dar na kuliacha jengo kua makumbusho na kuruhusu towers zingine ziote given that tayari wanaunganisha selander bridge na ocean road, itakua ni kupoteza opportunity ya mapato na upendezeshaji wa jiji la kibiashara. Walifikirie hili mkuu kama kweli wana nia ya kuhakikisha DSM isiwe na mshindani EA
Kwa hili siku-support yale makazi yana historia kubwa sana kuruhusu unachotaka kifanywe. In short Si sawa kufikiria hivyo! Ati golf course? Na kigamboni ipo tele?We do have state lodges all over the country. This state house is of historic importance for crying out loud! if the president of the United Republic of Tanzania uses it a couple times a year then it is not used to its fullest! Think of it as a huge mansion that you will have to use less than ten times a year and yet still pay lots of money to keep it standing!
Bongo technology yaan iko very poor hiyo meli as if imeundwa karne ya 11
It can act as a state lodge instead of change of use. In kenya, there are state lodges in Mombasa and kisumu
Onyesha mitumbwi yenu! Huo unaouana una mpaka communication technologies kama GPS na navigation systems!Bongo technology yaan iko very poor hiyo meli as if imeundwa karne ya 11
Songoro marine mnachowafanyia akina geza sio,how comes hiyo mtumbwi imecost bilions of money? Ccm imewapiga kweupeee
Kuna Mkenya mmoja kila siku anasema amekaa Tz akiwa anatema pumba zake mbona haumsemagi aache tabia ya kupenda sifa za kijanga! Ata mimi nikisema nilishafika Oslo sioni shida kwa sababu ata humu hamna anae nijua na sioni kama ni sifa. Nimegundua wakenya wengi wa humu mnapata uchungu mtu akisema ameitembea dunia au amefanikiwa. Pambaneni, acheni wivu.I have said a million times kwamba wewe ni mtu anayependa sifa za kijinga sana. Kuishi kwako NY inahusiana aje na watu wa JF? Kijana, this is a very simple post that doesn't need all that ranting about where you've been to, nobody is interested in knowing that. So imefika mahali watu sasa wanatangaza nchi wamewahi ishi!! Well, I think am different. Even if I went to the moon, I won't go telling anonymous people on the internet about it
Back to your whining about that post above. New York City is not a very big city in size (it is actually smaller than Dar). So do you expect everybody (8 million people) to live strictly within the boundaries of New York City considering its smaller area? There are many New Yorkers who live outside the boundaries of the city BUT still within the state (the state of New York). Wewe kama ulibahatika ukaenda US and made Harlem your home living in a dark apartment block ukisukuma maisha pole sana
Kwanza Migori siku hizi wako wengi sana. Wanavukia Sirari borderGeza kujeni mchukue hawa jamaa wenyu
Inabidi kuwepo na Uzi endelevu wa battle kati ya jwtz na kdf au sector ya ulinzi kwa ujumlaHuna akili wewe wamekufa wanajeshi wakitakzania kwenye kukombia nchi za sadc alaf unaongea pumba hapa
mkuu unataka tuwaumbue zaidi hawa manyang'au aiseee tuwahurumie kwa kweliInabidi kuwepo na Uzi endelevu wa battle kati ya jwtz na kdf au sector ya ulinzi kwa ujumla
Tatiyo hiyo ikulu IPO eneo tatanishi cbd sasa imekua kama trap fulani ukiwa unatembea tembea mjini kujikuta upo chini ya ulinzi ni kawaida wengine wanataka kutalii mjini sasa ukikosea njia tu matatizo hivyo ni busara hiyo Ikulu ijengwe sehemu nyingine dar hapo ilipo patumike Kibiashara pajengwe mall kubwa kuliko zote tz na mahoteli kubwa pamoja na parkTatizo ni kufikiri towers ndo zitapendezesha eneo linalopendeza lilivyo sasa! Mimi nitapenda likibaki kama lilivyo! Lina historia kubwa ya nchi hii! Nyumba ya George Washington na Ikulu ya kwanza ya US zote bado zipo!
Geza kujeni mchukue hawa jamaa wenyu