Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahahahhahahahahahahahah Daaah kaka we jamaa kabila gani ????!!!!!
Daahh JF sitoki inanipunguzia uchovu mwingi kwa kucheka.
wakenya wananiomba niwe mkikuyu.......

nikiingia DM yangu hawa wakora wananiomba eti nibadilishe uraia nilipowaona mapimbi eti wanataka wanipe banda kibera ....hapo ndipo niliwagunfua kuwa wanaakili za kunguni
 
Hahahaah daaadh kweli aisee hii JF.
 
Ahaaa mpendwa upo????
Nilidhani umelala maana usiku mnene huu.
Nyie hamna railway station mna utumbo wa kuku.
Subirieni sisi tukamilishe na tukarabati zetu muone kazi.
Unafikiri mimi ni kama wewe unayelipwa Na sisiemu kutrol wakenya hapa ndani? Wengine wetu tuko na kazi za kufanya, sio kushinda humu ndani usiku na mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…