Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulimbukeni ni kufurahia majengo ya ghorofa wakati mnategea chakula cha msaada. Kweli mnajitekenya mwenyewe halafu unacheza
 
Ila Wachina wanawabeba sana... Good for you

Ila honestly Dar Kwa sasa hatuna nyumba za maana zinazosimama kulinganisha na hizo
Times Tower is a 38-storey building and was constructed by the Kenyan government. And by the way, ungejiuliza ni Kwanini waliamua kuijenga Nairobi na sio Dar
 
Are you stupid or just ignorant.
USA
population=327 million
gdp=19.3 trillion
INDIA
population=1.34 billion
gdp=2.5 trillion

Bongolala ni Bongolala tu
Wahindi bado sana kutoboa
 
Times Tower is a 38-storey building and was constructed by the Kenyan government. And by the way, ungejiuliza ni Kwanini waliamua kuijenga Nairobi na sio Dar

Kwa sababu wanajiandaa kuichukua nairo-slums baada ya kushindwa kulipa tuk tuk loans🉐🈲🈸🈵🈴
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…