babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,429
- 36,046
Unataka nizoom ndio nione hadi ndani ya hizo dream houses ama? Dream houses indeed! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pic zetu hazioneshi kuwa kuna slums ila zenu reflects reality kuwa kuna slums.Wewe imemfika Kariobangi au ni picha tu unaokota mitandaoni?
Kwani hujui hizi ngeli maarufu za bongo? "tuta" "ita"show me any of this?
Acha kujifanya unajua Kiswahili, we hamnazo tu. "Tutawapita" wapi? tumeshawaweka pembeni wala hata hatuhangaiki na nyie tena. Ni vikelele vyenu tuKwani hujui hizi ngeli maarufu za bongo? "tuta" "ita"
"...hata Kenya tutapita tu karibuni..."
Tupo ldc lakini tupo mbali sana zaidi yenu kwenye mambo mengi kama huduma bora kwa wananchi.
[
expected growth TZ- 4%Acha kujifanya unajua Kiswahili, we hamnazo tu. "Tutawapita" wapi? tumeshawaweka pembeni wala hata hatuhangaiki na nyie tena. Ni vikelele vyenu tu
So your "unplanned settlements" have caused slums. I hope that makes perfect sense to you now, at least according to what you are saying hereHutumii akili pang'ang'a wewe.
Not every unplanned settlemnts are slums but slums can also be caused by unplanned settlemnts.
Tanzania's expected growth (revised) 7.1%, boom! run!expected growth TZ- 4%
Kenya - 6% the Gap is widening alarmingly
Mmetupita na nini? If wishes were horses! Hebu zitaje hapa na ulete dhibitisho ya kila kituAcha kujifanya unajua Kiswahili, we hamnazo tu. "Tutawapita" wapi? tumeshawaweka pembeni wala hata hatuhangaiki na nyie tena. Ni vikelele vyenu tu
Give me IMF figures not SISIEMUTanzania's expected growth (revised) 7.1%, boom! run!
Hold your horses, kwanza sina huo muda wa kupoteza, kila siku tunawapa proof humu ila kwa vichwa vyenu vigumu hamtaki kuelewa. Ok, tunaweza kudili na the most complicated mental cases pia, usiwe na shaka.Mmetupita na nini? If wishes were horses! Hebu zitaje hapa na ulete dhibitisho ya kila kitu
That was a creation of your sisiemu government and even World Bank downplayed those figuresTanzania's expected growth (revised) 7.1%, boom! run!
Hizo sio CCM Love, Actually, it's not 7.1% AFDB estimates reveal that the economy will grow at 6.6% in "2019"Give me IMF figures not SISIEMU
I have already given him a taste of his medicine. Those sisiemu figures were questioned even by worl bankGive me IMF figures not SISIEMU
U better sleep because you dont have factsHizo sio CCM Love, Actually, it's not 7.1% AFDB estimates reveal that the economy will grow at 6.6% in "2019"
This is not a subject of believing who says what. Economists always make mistakes. Kuna economies nazo zilifanyiwa wrong predictions ila kwasababu nyie mbwa ni haters, we leta tu za WB, isiwe shida, kwasababu vitu vingi vinaweza kuchangia ukuaji wa uchumi, tupo quarter ya ngapi kwani? tafuta current estimates kama zipo nileteeThat was a creation of your sisiemu government and even World Bank downplayed those figures
View attachment 1198098
Hizo sio CCM Love, Actually, it's not 7.1% AFDB estimates reveal that the economy will grow at 6.6% in "2019"
A taste of my own medicine, bitch, please, I can barely feel a thing. Give me more dosage if you can but that ridiculous screenshot ain't gonna make me back off.I have already given him a taste of his medicine. Those sisiemu figures were questioned even by worl bank
So mlizipungua bila ya ulimwengu kuona na kushuhudia? No news about it, no pictures, no government report, yani nothing at all! In short, mlizipunguza tu kwa akili zenu, nothing to prove itMm nazungumzia kuanzia 2014 asilimia zilikua zikipungua mpk kufikia sasa tushateketeza slums.
Unaelewa mamaa ama wajisomea tu!???
what is this shit supposed to show me? hivi umezone out au?