Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ok..your middle class uswazi is heaven for you guys.one day utafika tu Nairobi
Hahaaaa you stop joking.. uswazi unataka kufananisha na world class slums,vibanda vya rusted sheet full suit,boy kibera is known all over the world!!!.. nothing like nairobi interms of slums..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Si hao wasanii...hta akothee si alimlipa m.r flavour na wakaimba...hela yako baba...halafu usijidanganye km west na south africa km miziki ya east africa inachezwa... ni shobo zetu tu sisi hku ndio zinatufanya tunawapa flegi
Muziki wa bongo unachezwa sana west huko,acheni wivu mungiki,muziki wa Tanzania uko level nyingine kwa afrika
 
Mombasa might be bigger than dar...if you remove the 90 % of squalor that defines the overgrown uswazi fishing village of dar.to tanzanians its a great city for them.....[emoji1787]
Mombasa uchafu tu huo,na hiyo mijumba yenu ya uswahili nyumba vyumba 20 choo kimoja!nyie jamaa mnaishi kidhiki sana
 
Halafu kumbe we kifalaaa.!!!!
Hahahahah bro unachekesha.
Hata sisi tunampenda Meddy Kagere lakini duniani hawez mshinda Messi au Ronaldo kwa umaarufu.
Huyu Michael Jordan wako pesa anazo ila kwa kupendwa na watu na kwa umaarufu uwez mfananisha na Pogba wewe.
Tena messi na Ronaldo usiwaguse.
Ulimwengu mzima unawajua hawa watu kina nani.
Usiropoke km umekunywa gongo kavu man.
Hiyo NBA inaangaliwa na wangapi??!!!!
Mpira English Premier League inatizamwa mpk vichochoroni.
Uefa champions league inatizamwa kila kona usipime.
Yani unapozungumzia mpira usifananishe mpira na vtu vya hovyo hvyo.
Pogba had chikonda Kagame anamjua.
Asa nenda kamtajie sijui Jordan wako km atakuelewa.
Sawa hao US wana super stars wao lakini ulimwenguni hawatambuliki kama Messi,Ronaldo,Pogba e.t.c.
Pogba watu ulimwenguni wanamtambua mpk wanaiga style zake za nywele ndio umfananishe na Michael Jordan ???!!!!!!
Kanywe soup ukate pombe.
 
Basketball is the most popular sport in America followed by American football and soccer (football) in that order
 
Hahaaaa you stop joking.. uswazi unataka kufananisha na world class slums,vibanda vya rusted sheet full suit,boy kibera is known all over the world!!!.. nothing like nairobi interms of slums..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bro yani ukienda Kibera kuishi unambiwa tahadhari kwa wasiochoma sindano za pepo punda.
Maana mabati kamma yooteee.
 
Utakua ulifika Dar at the age of 90s embu njoo sasa then uone how Daresalam is growing and things are fixed up.
Halafu pengine kuna beach hukutembea ulienda ferry wanapovua samaki wewe.
1)South beach.
2)Family beach.
3)Chadibwa beach.
4)Geza beach.
5)Sunrise beach hotel
Hukuzitembelea wewe eti unasema they are stinking shame on you.
Zingekua zina stink wasingejaa ht whites wakiogelea na wakifurahia mandhari.
 
So Dar is slum doesn't even have a sewerage system!? They still use septic tanks down there in their most important city! Na hii kelele yote wanapiga hapa!!
 
So Dar is slum doesn't even have a sewerage system!? They still use septic tanks down there in their most important city! Na hii kelele yote wanapiga hapa!!
Una uhakika Dar hakuna sewage systems???!!!!
 
So Dar is slum doesn't even have a sewerage system!? They still use septic tanks down there in their most important city! Na hii kelele yote wanapiga hapa!!
Mbona unaongea kama Nbo kuna kila kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…