Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi sio ya building tatu kama Dar,hebu tazama hiiView attachment 1188417
You don't need to show me picha iliyopitishwa kwenye filters. And dude, that's just one point of view that you show us here every single day. Unajua kuna hizi pia? With the spiking towers in the background, this slum should be within a 3 mile radius just next to the cbd.

 
Pole sana mimi nimezoea hii yenye iko na tatuView attachment 1188416
Kwa kukutuoa ujinga, ngoja nikupe mfano mzuri wa moja ya majiji ninayoyapenda, london. London tuseme ni moja ya the leading financial centers on earth in fact, number one and new York comes in second. So maofisi hujengwa sana na real estate development inaboom.The big apple obviously has more skyscrapers than London na London ina many construction projects za skyscrapers kwenye booming areas kama Canary Wharf. CBD ya London haina skyscrapers nyingi kama inavyotegemewa. Ni majengo machache kama the Gherkin, the walkie talkie, the Shard nk ndio yamepamba mji. Thus, cbd haiwi defined kwa maghorofa mangapi yaliyopo na hilo uelewe tafadhali



Canary Wharf (sio cbd)
 
Except kibera sijui kama unapengine pakutokea,wakati ur tiny cbd imezungukua na slums
 
Except kibera sijui kama unapengine pakutokea,wakati ur tiny cbd imezungukua na slumsView attachment 1188451
Those aren't slums in contrast to popular belief. And besides, I see you wen't to look for a photo that was taken more than six years ago because even the PSPF towers are not present. It's funny how you try to compare DAR in 2012 with Nairobi in 2019. You gotta step up your game boo. You are trying so hard to prove yourself.
 
Sasa wewe unafikiria assumption zako ndio kigezo cha venye watu wanafaa kuishi maisha yao? Nairobi inafaa ata kuongezwa miti hadi ikae hongkong flani. Nyinyi kwa masomo yenu finyu endeleeni kukata miti jijini ndio iskue 'too much'
Nani kakudanganya kama Hong Kong ina miti Mingi.!!!. Nairobi ni kichaka flani,usizuge
 
Nyie WaTZ hamna kitu
Mimi hutoka hapa Kibera hutumia dk 8 kufika Upper Hill na dk 7 kufika tao

Nyie mnatoka Tandale mnatumia 1 hr af hiyo Tandale yenu iko mbali na CBD wakati sisi Kibera ni 900 metres from CBD and Upper Hill
 
in any given photo the 3 towers are kept constant
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…