Will?????.โฆ
Wale wanaoingia stesheni kukata tiketi chini, kupanda juu halafu kushuka chini kupanda treni tena utawajua tuAdabu na heshma๐๐๐๐
View attachment 1182361View attachment 1182360View attachment 1182363View attachment 1182362
Wale wanaoingia stesheni kukata tiketi chini, kupanda juu halafu kushuka chini kupanda treni tena utawajua tu
Hata jiwe moja halijasigezwa site unakuja kuota huku? Kenya si kuna malls every where au
Labda ww utuoneshe jiwe la pinnacle na montave bila kusahau nairobi 88๐๐๐๐Hata jiwe moja halijasigezwa site unakuja kuota huku? Kenya si kuna malls every where au
Tayari mkataba umeshasainiwa kati ya council na constructor na project ipo kwenye constructor recruitment stage.Hata jiwe moja halijasigezwa site unakuja kuota huku? Kenya si kuna malls every where au
Karibu sana [emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umempa za uso kweli kweli.Tunawapumulia kichogoni hakuna sehemu mutatoka salama kwa sasa[emoji38][emoji38][emoji38] tourism tumewafyeka, logistic tunawapumulia, airline tumewakalisha kuti kavu[emoji28][emoji28] kwenye medical tumewalaza chali, ukija kwenye ufisadi na rushwatunawanyea kichwani, food security ndio hata haisemeki sijui nani aliwalaani ukija kwenye security wise sijui wapi mulikwama[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] ukirudi kwenye slums mpaka mzungu anawaogopa alijua kibera ni national park[emoji3][emoji3][emoji3]