Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What a stupid response....duh!!akili zako bado hazifanyi kazi..hv ukipewa nafasi uka debate kimataifa ukiulizwa hilo swali ndio utajibu hvo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]duh!!elimu tabu walai
wew ni jobless maaana mida ya kazi wewe ndio uko wa moto kucomment
 
Yeye hajui zinaeza uzwa bei ile ile maana bado zitakua ni mpya [emoji23][emoji23][emoji23] alafu alie shauri zinunuliwe sio mjinga lazima kuna sehemu zitaenda baada ya wageni kuondoka
Huyu jamaa mbuzi sana ye hajui kama naada ya hapo zinaeza kutumiaka kwenye kazi zingine na kazi ziko nyingi tu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nadhani imekuingia[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]kwaheri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..jiongeze bana..unapojadili vitu na akili kubwa usijadili kw style ya kijiweni bana[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
wew ni jobless maaana mida ya kazi wewe ndio uko wa moto kucomment
 
is that a golf course or a racecourse? Huo uwanja umechoka haifai Kuitwa golf course. Definitely you can't compare that one na zile za Nairobi zilizonyooka but since kila mtu anavuta upande wake hapa, utasema tu hii yenu ndio bora.
Bongozozo will show u around!
 
Maskini hapa ilipo ndio nchi inaongoza kwa unemployment rate kubwa i think africaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Inatajwa kua ndio team tajiri no 2 baada ya azam fc in east africaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Kwn siku hz kula maini ni kigezo cha mtu kuwa tajiri...tanzanai bana...hko kwenu ndo manake mnaona wanaokula nyma ni matajiri..
Hyo ni lugha ya picha...usiibebe nzimanzima nna ilivyo
 
Nadhani huo ukwel umekuingia...nairobi iko na middle class na millionaires wengi kushinda tanzania...get the fact bro...usishinde kuleta maneno ambayo hayatabadilisha uhalisia
Issue ni kua millionaires au maisha mazuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…