The whole world know Kibera is a slum. Don't you get tired if showing kibera pictures?Labda ww hujui maana ya slumπππππππππnakusaidia tu
Mzungu anaakili nyingi sanaππππView attachment 1174037
The whole world know Kibera is a slum. Don't you get tired if showing kibera pictures?
This is South C Estate, still along Mombasa Road. Show me any estate in Dar with this level of planning Kama sio zile Mitaa zenu za kifahari along the ocean line
SOUTH C
View attachment 1174064View attachment 1174065View attachment 1174067View attachment 1174068
Mkubali Tu .Kando ya barabara nyumba zinaweza kuwa zimepangwa vizuri. Lakini Vipi kuhusu hatua tano ama kumi kutoka hapo? Je hizo sehemu zingine hazifai kupangwa na kupendeza? Mipango miji bado mko nyuma sana na mna mengine kijifundisha kutoka Nairobi
We fala hujui hata kutofautisha friendly match na qualifying match...Malaya.
Tujifunze nini kwa nairobi???...Kando ya barabara nyumba zinaweza kuwa zimepangwa vizuri. Lakini Vipi kuhusu hatua tano ama kumi kutoka hapo? Je hizo sehemu zingine hazifai kupangwa na kupendeza? Mipango miji bado mko nyuma sana na mna mengine kijifundisha kutoka Nairobi
ICE Trains nilizokuwa naongelea wakati uleMwiba huoππππ wakenya hapa mutatoa povu mpaka la kwenye makalio
View attachment 1174072View attachment 1174073View attachment 1174074
Nakumbuka nikiwa mtoto Amani stadium ndiyo uwanja pekee Tz uliokuwa na taa (mpira ulichezwa usiku)[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1174056
Hizi ndio zinakuja?Mwiba huoππππ wakenya hapa mutatoa povu mpaka la kwenye makalio
View attachment 1174072View attachment 1174073View attachment 1174074
Mipango miji tuna changamoto ni kweli. Lakini hizo sehemu ambazo zinahio changamoto zina nyumba nzuri na za kisasa kabisa. Ndio maana wengi wanakupinga na kusema sio slum.Upangaji wa miji bado mko nyuma sana. Mitaa zenu ziko ziko tu. Hazina mvuto hata
Mkubali Tu .
Wakenya tumewazidi mbali Sana.
Cheki uwanja huoView attachment 1174108View attachment 1174109View attachment 1174110View attachment 1174111View attachment 1174112
The poverty in nairobi is of another level...wtfBongo huwezi kukuta uchafu huu.
View attachment 1174046