Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rubbish, time will tell
 
Sasa unapanic nn kuskia taarifa hio au bado ile terminal 3 inakupeleka chooni kila maraπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Kila jambo linalofanyika tanzabia munafaa muvumilie kwanza jamaa hajamaliza miaka 4 ila kafanya mambo unaeza sema amekaa madarakani miaka 25πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mambo mnafanya saa hii sisi tulifanya miaka ishirini iliyopita. can't you see we are way way ahead of you?
 
That shit doesn't even have cargo planes. Bado inabania za majirani! What a waste of shit! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Tunabania au tunawapa nafasi majirani wasio wanafk? Kisa hatuna direct border na ethiopia haijalishi kuwa sio majirani. Haya malalamiko ungeyaleta alivyoanza KLM sio ethiopia wala rwanda. Kija hata mzambia tutasaidiana nae kwa upande wa kusini south africa as well. Buda mazao yanayozalishwa TZ hata nchi zote za EA zikisafirisha bado hazitoshi, may be the whole SADC
 
Mambo mnafanya saa hii sisi tulifanya miaka ishirini iliyopita. can't you see we are way way ahead of you?
Miaka gani mumefanya nyinyi kwan ww kwa akili yako ulijua kutangulia ndio kufika unaeza nionesha nn kenya imefanya miaka 50 leo??? Na hamujasaidia nchi yoyote africa kupigania uhuru, leo hii nashangaa kuskia kq inamiliki ndege 3 wakat iko in service zaidi ya miaka 30 we huoni aibu?? Na nafkiri ndio shirika pekee africa limerndesha hasara miaka zaidi ya 7
 
Ni nafasi gani mnawapa? Ukiomba jirani yako jembe yake uendee shambani kwa sababu hauna jembe yako binafsi ni nafasi gani umempa huyo jirani kama sio kumpotezea muda?
 
Nikuonyeshe ni nini Kenya imefanya ndani ya miaka 50? Hayuko ldc na tuko na uchumi kubwa kuwaliko. Najua kanchi fulani imeshindwa kujinasua kutoka kwenye lile tope la LDC kwa zaidi ya miaka hamsini sasa
 
Ni nafasi gani mnawapa? Ukiomba jirani yako jembe yake uendee shambani kwa sababu hauna jembe yako binafsi ni nafasi gani umempa huyo jirani kama sio kumpotezea muda?
Tanzania kila kitu kina kwenda kwa mipango tumeanza na ndege za abiria na hasa tukilenga tourism na sasa iko motooπŸ”₯πŸ”₯ na utashuhudia ndege nne mpya zinaingia dec kaa mkao wa kula alaf tunakuja kwenye ndege za mizigo sasa

Nyie wenye ndege za mizigo ikwapi faida ya kq leo miaka 7 zaidi ya kulipa madeni ya watu waliowakodishia ndege, yani aibu shirika kumiliki ndege 3 aisee 🀣🀣🀣🀣 alafu hasara iwaache salama
 
Dawa imekuingia vizuri sana. Uguza maumivu pole pole. Ukizidiwa tembelea kituo cha afya iliyo karibu nawe, if at all you live near a health facility
If you think bluffing around ni dawa si ujiponye ukichaa wako? Maneno matupu hayavunji mfupa, we shuhudia tu dim huku tukisonga mbele
 
Nikuonyeshe ni nini Kenya imefanya ndani ya miaka 50? Hayuko ldc na tuko na uchumi kubwa kuwaliko. Najua kanchi fulani imeshindwa kujinasua kutoka kwenye lile tope la LDC kwa zaidi ya miaka hamsini sasa

Imefanya nn cha maana maana unemployment rate iko juu, below poverty line iko juu, debt ndio usiseme munanuka jasho la madeni, au mumefanya nn cha maana miaka 50πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Usiaangaike kumjibu tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Imefanya nn cha maana maana unemployment rate iko juu, below poverty line iko juu, debt ndio usiseme munanuka jasho la madeni, au mumefanya nn cha maana miaka 50[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ni nafasi gani mnawapa? Ukiomba jirani yako jembe yake uendee shambani kwa sababu hauna jembe yako binafsi ni nafasi gani umempa huyo jirani kama sio kumpotezea muda?
Kuomba jembe linganisha na ndege za kulease sio kusafirisha, hata tukiwa na ndege mia bado hazitoshi kusafirisha mazao yote ya TZ. kuwapa nafasi majinrani ni muhimu na hivyo ndivyo tulivyo tokea enzi za uhuru. Bila kushirikiana na majirani MSD isingepewa nafasi muhimu vile sadc. Tunatoa nafasi, tunapewa nafasi, maisha yanaendelea. Hili niswala ambalo mungiki hawawezi kuelewa kwa sababu ya unafk
 
Lakin na nyie sio kwamba mna cargo plane nying za kuwatosheleza..Ni hzo Emirates Sky Cargo,KLM Cargo ,Lufanthsa cargo,Turkish cargo zinatua nairobi kuchukua na kuleta vitu
 
Lakin na nyie sio kwamba mna cargo plane nying za kuwatosheleza..Ni hzo Emirates Sky Cargo,KLM Cargo ,Lufanthsa cargo,Turkish cargo zinatua nairobi kuchukua na kuleta vitu
Slave masters' cargo
 
Lakin na nyie sio kwamba mna cargo plane nying za kuwatosheleza..Ni hzo Emirates Sky Cargo,KLM Cargo ,Lufanthsa cargo,Turkish cargo zinatua nairobi kuchukua na kuleta vitu
At the end of the day, tuko na yetu hata
Kama ni moja. Najua wenye hawana na hata hawajui watakua nayo lini
 
At the end of the day, tuko na yetu hata
Kama ni moja. Najua wenye hawana na hata hawajui watakua nayo lini
Sio yenu ni zile mumekodisha zinazowapa loss miaka 7 sasa zenu ni ndege 3 tu chakavuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Baada ya kuonekana kwamba ni white elephant sasa wameanza kutumia forceπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Toroka uje, Bandari salaama ipo. Mnalazimishwa kulipia walicho kula mafisadi hataree 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…