Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakishindwa hua wanaokota picha za google za nigeria na congo wakidhani ni dar😆😆😆😆😆 sasa kinachowaumbua dar hua hakuna udongo mwekundu
Wanakua desperate sana linapokuja swala la kudili na Dar
 
2018 wameingia 1.5milliion na tumetengeza 2.4b usd sasa mwaka huu wanafika 2million na tutaingiza 3b usd 👇👇




Kenya walipata pesa kwenye utalii less than 1b 2018😆😆😆😆 niliskia masai mara kuna hoteli mpaka 20usd per night
 
Hivi umesoma habari nzima au umesoma kichwa cha habari tu? hiyo ni personal view ya mtu na ndivyo anavyoamini na kama unaamini hivyo pia haina shida ila huwa tunawapa dozi nzito tu.
Huyu buda bwege sana, akiona chanzo chochote anaparamia. Na ndio nairobi ilivyo, anaweza pita mlevi akatoa povu wakaacha shughuli zao na kumsikiliza
 
Heheh unajua kinachowauma hawa wanashangaa kuona dar imejengwa within 13yrs wakat nairobi imeanza kujengwa 45yrs lakini maendeleo hakuna😆😆😆
Na wataisoma namba sana, leo nimepita njia ya kijitonyama nkazunguka nyuma ya makumbusho. Ebwanae, kuna viuyoga vinaoteshwa si mchezo, halafu kuna maeneo nimekuta jengo linajengwa panapana hivi na mpaka sasa lipo kama ghorofa tatu juu na linaendelea kupanda. Nimekua concerned na hili kwa kuwa linaonekana kama mall flan hivi ambayo sio ndogo. Ntatafuta render yake
 

Na bahat mbaya kwao this time wamekutana na mwamba anafanya maajabu ya dunia 😆😆😆 wanamchukia maana kawabana kila pembe
 
Na bahat mbaya kwako this time wamekutana na mwamba anafanya maajabu ya dunia 😆😆😆 wanamchukia maana kawabana kila pembe
Sure, Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu na ikiwezekana pia Watanzania wamtunuku fursa ya kuongoza kipindi kirefu zaidi
 
Hapa tunalinganisha huruma vs dar uwanja wa dhambi esates...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]leo niko na wewe...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]






Yaonesha hujui kutofautisha kati ya slum na informal settlement[emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1165042
 
Heheeeee!!!naona unatapatapa...leta aerial view hapa ya nyumba za huruma[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Huruma slum[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Kumbe ile post ya janaa imekuuma...maskini dar...yani kila mtaa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uko na uswazi
Wakishindwa hua wanaokota picha za google za nigeria na congo wakidhani ni dar[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] sasa kinachowaumbua dar hua hakuna udongo mwekundu
 
Hapa tunalinganisha huruma vs dar uwanja wa dhambi esates...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]leo niko na wewe...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unafananisha Na dar sehemu hakuna slum pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…