Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huruma ni slums ambazo wewe huita estates

Sasa ona ulivyokuwa mjinga unafikiri watu wanaokaa mwananyamala,mbagala au Vingunguti hawamiliki magari???
 
Informal but modern in your standards
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]e pain you are now[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Picha zote hizo ni za Nairobi
 
Wakati kenya wakiandikwa BBC,CNN,ALJAZEERA Kwa kuzindua mradi wa kufua umeme wa upepo utakaozalisha 300MW

Tanzania imezindua Rufiji hydroelectric dam itakayozalisha ×7 ya wa kenya na hakuna any international media imeandika...
Thumb up wazee Hawa nyumbu hawana Pumzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…