Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisa uzinduzi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hamna lingine mzee baba[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Mbona povu linawatoka sijui mutaongea nn safari hiiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mombasa huaga inakutesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani unajiskia ufe
Hua inaniskitisha sana kuona hakuna hata choo cha stend ya mabasi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ukifika mwembe tayari unaeza sema umeingia choo cha bar
 
Hua inaniskitisha sana kuona hakuna hata choo cha stend ya mabasi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ukifika mwembe tayari unaeza sema umeingia choo cha bar
Sasa ni mji gani hapo kwenu mnaweza linganisha na Mombasa?
 
Over 30,dar skyline haiwezi...thats why nikakwambia...ukitoa the three blue towers ni km mombasa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Over 30 mkiambiwa munajikojolea[emoji38][emoji38][emoji38]
 

Maendeleo pekee kenya wamefanya ndani ya Miaka 60 ya Uhuru ni Kuzungumza English.
 
Bwahahaaa...kila bus iko na lounge yake...tuliza mshono baba...kwn wewe ulipanda basi gani
Hua inaniskitisha sana kuona hakuna hata choo cha stend ya mabasi [emoji38][emoji38][emoji38] ukifika mwembe tayari unaeza sema umeingia choo cha bar
 
Over 30,dar skyline haiwezi...thats why nikakwambia...ukitoa the three blue towers ni km mombasa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1160947
Na mbona over 30 juzi muliishia 10 mukaanza kutafuta pakutokea πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† na hapo mchina kawasaidia vibaya sana
Kama kuna mombasa tofaut na hii nitagπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ ushuzi wa bata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…