Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila kipindi cha kwanza mlipokea dozi za maana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] dakika ya 5 mulianza kulia, unazungumzia uchumi gani au ule wa kuongeza asilimia 30 kwenye pesa yenu[emoji1][emoji1]
Ulishindwa kuleta hesabu za IMF tuone km zinalingana na zako ukatoroka...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Actually TV stations zao hazionyeshi hizi mechi unless ya Jana walionyesha but overall mtu ajipange kwenye atastream ama awe Yuko na DStv.
 
Umegonda ndipo...haya we fanya hvo kw ccm km hukupotezwa
 
Nonsense[emoji1][emoji1][emoji1]
Tanzania jaribu kuikosoa serikali, Magufuli ama pia kuongea kuhusu maisha mabaya ya watanzania kwenye runinga na keshowe huna kazi ama umekamatwa na kupigwa. Watanzania watabaki kuwa nyuma kwa hili jambo, wao hawaoni serikali yafaa kukosolewa kwa chochote kile. Kile ambacho pia cha peperushwa kwenye mitambo ni propaganda na umaarufu wa ccm
 
Aliekwambia mume qualify nani?? Senegal mutamuwezπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Tumewachapa Kama kawaida na tumewaweka ndani ya next plane to Dar...hakuna lolote unaweza niambia and from now on hata unitag Mara ngapi sitawahi kujibu nimekuweka ignore list...bure kabisa...tunawachapa kila kitu Hadi Kadanda.
 
Ulishindwa kuleta hesabu za IMF tuone km zinalingana na zako ukatoroka...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikuletea ushahidi wa boss wa IMF alikuja kwa magu kuomba radhi kwa report sasa ww niletee ushahidi kua IMF wameomba radhi kwa report ya kua kenya inaongeza thaman 30% kwenye pesa yakeπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Nilikuletea ushahidi wa boss wa IMF alikuja kwa magu kuomba radhi kwa report sasa ww niletee ushahidi kua IMF wameomba radhi kwa report ya kua kenya inaongeza thaman 30% kwenye pesa yake[emoji38][emoji38][emoji38]
Nitakuletea ile siku heasabu zako zitaendana na zile za IMF[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
AFDB soma hio [emoji116][emoji116][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Hzo ndo zile hesabu ukapiga kuhusu gdp ya kenya...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]leta hesabu zako za ku subtract gdp na za IMF km zinaingiliana...[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]

Meanwhile..msukuma anajifariji kala thalatha[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…