Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakuuliza ww ndio ulibadilisha page yao ya avic ukaeka 30[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hey old witch, picture speaks louder than words. All these towers stands above 30flooors.
 
Haya basi imeshinda. Next, tallest building in EAC ni gani ambayo ni over 41floors...jibu vile ulijibu ya 30 floors.
Usione aibu kisa leo nimekutoa makamasi kwenye over 30floors vumilia tu plzπŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
Nchi imeanza kujengwa just 10 yrs inawatoa udenda marakoniπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Nimekubali Babaa Sindano imeingia Hadi kwa mfupa.

Sasa jibu swali langu, je ni building gani ndefu EAC Tena zaidi ya 41floors?
 
Leo nimecheka sana kuona over 30 tumekanyaga pamoja na avic kuokoa jahazi lakini wapi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† na hapo mshukuruni sana mchina πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Bado sijagusa kwenye density sasa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Nimekubali Babaa Sindano imeingia Hadi kwa mfupa.

Sasa jibu swali langu, je ni building gani ndefu EAC Tena zaidi ya 41floors?
Asante kwa kukubali kua sindano imekita sehemu husikaπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
Wacha Sindano ikuingie pia kwa kujibu swali sio kukwepa na emojis.

Jengo ndefu zaidi jumuia ya Africa Mashariki lenye orofa zaidi ya 41 linapatikana Kenya. Kweli ama uongo?
 
Kwa akili yako unaona hapo ndipo imeanzia tena TPA imejengwa pembeni mwa bahari kuna bonde kubwa sana hapo kwenda chini[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Leo nimekushika makende, danganya watoto na sio sisi.
 
This ichoboy guy is possessed, huwa anapinga hadi vitu obvious that doesn't arguments. Wanatami sana kuhave 40+ floors building.
I have just given him anachotaka kusikia... Sindano imeniingia kwa mfupa...huoni vile amefurahi Kama mtoto amejua kuendesha baskeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…