Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Hizo picha zote nimekupa majina ya kampuni miliki do your research young man and stop behaving as if you are in a labour ward.Hadi picha za ndege zikipaa angani ambazo hazina logo analazimisha ziwe za kenya
Mwenzako kapost hio, kwani huna kampuni nyengine unaweza leta?Everett aviation hub in Dar es salaam maana naona hadi helicopters ulikuwa unaweka zinazopaa
View attachment 1137089
Unalia maana huna nyengine to counter that?.Hii umepost jana mbona hueleweki wewe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Umeshindwa kupost za kwenu,ama hamna? Si ulete hata zile pangaboy tatu angalau tuone [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sikuelewi bro hii pia umepost jana au nikuoneshe [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kununua shares ndio munafkiri mushakua wamiliki tena aliewauzia shares 40% alikua na akili sana baada ya kuona ametumba akawauzia ili mugawane hasaraππππ naona hushangai kq watu kua na shares zao hapo πππTunanunua tukisajili na 5H ili nanyi kama ndugu zetu tuwape matumaini ya kuishi na kuona kwamba mnamiliki ndege.
Read wide young man, visit their website for more information about their fleets and services.Hii east African ina ndege ngapi kwenye fleet yake?
Tatizo unapost bila majina mara unarudia tena makampuni sikuelewi ππππUmeshindwa kupost za kwenu,ama hamna? Si ulete hata zile pangaboy tatu angalau tuone [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
East africa umepost jana na leo umerudia vipi au zimeishaπππππUnalia maana huna nyengine to counter that?.
Heri ziwe kuukuu lakini tunazo kuliko nyie ambao mnatubeza na hamna.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]An airline with kuukuu aircraft!
Hizo ni kampuni mbili tofauti,kuna African express na East Africa airline unataka info ya airline ipi?.Tafadhali nipe more info kuhusu kampuni hii.
Okay.bado nasubiri info ya East African
Kwa usafiri wa anga wa ndani ,mkoa Kwa mkoa ,zile ndege zote nimepost haziendi new York, China or Europe.ni hapa tu Kenya na pia pengine kuchumbiachumbia kidogo Kwa jirani maana wasichana warembo wanaonekana huko.we si ulisema aviation industry?
Ubishi wako haubadili chochote,licha ya kua Kwa muungano wa sadc huna uhusiano wowote na mtu wa southern Africa.yapo makabila kenya na pia yanapatikana Tanzania hao ni mandugu hadi Yesu arudi.Tanzania na Kenya sio ndugu, ila ni majirani tu, Tanzanian ndugu zetu ni SADC countries na Uganda, hao tuliwakomboa toka mikononi mwa wauwaji. Kenya ndugu zenu ni Somalia na South Sudan.
Hata wenzako wanakushangaa humu,Ila nakwelewa huna uwezo ya kusoma,once a bongolala always a bongolala.Tatizo unapost bila majina mara unarudia tena makampuni sikuelewi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nakushangaa sana unarudia pic mara unapost pics bila majina yani random vipi bro πππ tatizo lenu ni bado munamawazo ya usingizi kua hii bado ni ile tz ya 90s kumbe mambo yamebadilika kimya kimyaHata wenzako wanakushangaa humu,Ila nakwelewa huna uwezo ya kusoma,once a bongolala always a bongolala.
Nakushangaa sana unarudia pic mara unapost pics bila majina yani random vipi bro [emoji38][emoji38][emoji38] tatizo lenu ni bado munamawazo ya usingizi kua hii bado ni ile tz ya 90s kumbe mambo yamebadilika kimya kimya
East africa umepost jana na leo umerudia vipi au zimeisha[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]