Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

we mwenzako kakuletea ndege za abiria we unamletea Cargo? [emoji23][emoji23] mmeishiwa nini?
Hilo ni kukuonesha kwamba tuna control sector zote hata bila KQ bendera bado itapeperushwa tu , watoto tunao wa kila aina. Hio inaitwa aberdair service it takes you to the world,Wana fleets zote only your pocket speaks.
 
🀣 🀣 🀣 yangu macho, the internet is out of control.
 
Ww unaokota picha ovyo inamaana unataka kutuambia hii ni kampuni mojaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† na initea jina gani?????
 
Umerudia picha sana yaani mtu hadi unajivunia kwa helicopters πŸ˜‚ πŸ˜‚ . Ni almost meaningless kuwa na a failing national carrier huku ukijivunia private companies za ndege. Nyie si mnamiliki ndege tatu tu for the lat what? 50 years? Sisi hatukuwa na shirika lenye bahati saaana ila tumeshawashinda kwa umiliki wa ndege nyingi.
 
Ww unaokota picha ovyo inamaana unataka kutuambia hii ni kampuni mojaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† na initea jina gani?????
Hadi picha za ndege zikipaa angani ambazo hazina logo analazimisha ziwe za kenya
 
Hii umepost jana mbona hueleweki wewe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe umeeka kampuni nne tu zenye videge vya kijinga halafu unatarajia nipost zingine sasa zishindane na nini wakati hamna ndege labda upost bajaji.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…