Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Picha ya 2-5 ni the same thing afu za mwisho pia ni the same thing...Dar ni ile ile ndogo ya towers 3.
 
Westlands 1 - 0 Dar es salaam
Sujui tujaribu Upperhill vs Tz? Watu wa 3towers mnasema aje?
 
mbona matokeo ya kenya na Algeria hamjaweka? kweli baba hakifa HIV positive na mama haponi
 
Mambo ya kusafiri kwa mabasi miruti mirefu kama huku Tzn ni umaskini ndege ndo ilikuwa mahali pake
Bongo kama unasafiri kwa ndege hasa kama ni staff wa serikali au kampuni binafsi unapigwa Majungu hadi unaweza achishwa kazi yaani ni full mentality za kimaskini
 
Hahahaaa Tanzania tutabakia kupiga majungu mambo ya kuabiri midege tuachie wakenya maana ndio middle class.
 
the city under the sun in the afternoon, no shade 😂 😂 na this time nimeleta za CBD sio maeneo mabaya kama wanavyolinganishaga Dar na Nairobi, this is as fair as it can get
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…