Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Bado hamtoshi mboga. This is our freedom airline.Tropical air[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1136738View attachment 1136739View attachment 1136740View attachment 1136741View attachment 1136742
Miaka 50 mnamiliki nini? Sisi tumejipanga my friend hata leo KQ ikafilisika wapo watoto wengi tu ambao watachukua nafasi na kupeperusha bendera.Tulizana nikupe dawa kwenye bus nimekukanyaga na hapa ntakukanyaga pia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] miaka 50 kq inamiliki ndege 3
๐๐๐
Mumejipanga kwa kumiliki ndege tatu kq miaka zaidi ya 50๐๐๐๐ sio ikafilisika ishafilisika na sasa inaendesha hasara miaka 7 mfululizoMiaka 50 mnamiliki nini? Sisi tumejipanga my friend hata leo KQ ikafilisika wapo watoto wengi tu ambao watachukua nafasi na kupeperusha bendera.
Duh!!!mazee hawa jamaa watupu kinyama walai...wajua mpira kufungwa ni kawaida..lkn mchezo walioucheza leo hawa jamaa...hadi nimeshangaa waliingiaje afcon wajameni..so sad walaiWaliwalipa waganda ndio wakawawachia ile game ,unaikumbuka?
Heheeeee...sisi tuna count hzo kampuniTanzan air[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1136744View attachment 1136745View attachment 1136746View attachment 1136747
Tulia na tukitoka hapa tunaingia kwenye marine sasa nikawakamue mabusha๐๐๐Heheeeee...sisi tuna count hzo kampuni
Kabisa.. Sasa. Magufuli atakujia plots zake zile aliwapeaWaliwalipa waganda ndio wakawawachia ile game ,unaikumbuka?
This is one is owned by our very own KQ ,KQ owns 41.23% sasa hii pia ni yetu.leta nyengine.Precision airways[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1136763View attachment 1136764View attachment 1136765View attachment 1136766View attachment 1136768View attachment 1136769View attachment 1136770View attachment 1136771
Lianzishe twende nalo...Tulia na tukitoka hapa tunaingia kwenye marine sasa nikawakamue mabusha[emoji38][emoji38][emoji38]
Precision air KQ iko na share....so hapo umebugiThis is one is owned by our very own KQ ,KQ owns 41.23% sasa hii pia ni yetu.leta nyengine.
Sio tatizo lakini ni tanzanian owned company๐๐๐๐๐ una jingine mbona kq share hamusemi hapa inamilikiwa na kina nani???This is one is owned by our very own KQ ,KQ owns 41.23% sasa hii pia ni yetu.leta nyengine.
Jamaa anaweka hadi precision airline hajui kama tunaimiliki 41.23%[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Duh!!!mazee hawa jamaa watupu kinyama walai...wajua mpira kufungwa ni kawaida..lkn mchezo walioucheza leo hawa jamaa...hadi nimeshangaa waliingiaje afcon wajameni..so sad walai
Reli ndio usiongee kabisa heri utulizane tu kinachojengwa hapa tanzania itawachukua miaka 50 kuipataLianzishe twende nalo...
Lkn kw reli hatujasahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leta ndege yoyote ya precision iliosajiliwa kwa registaration 5Y ukipata yoyote nitag๐๐๐Jamaa anaweka hadi precision airline hajui kama tunaimiliki 41.23%[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Usikwepe mada kw maneno ya vijiweni kaka...tulia kwenye mada....Sio tatizo lakini ni tanzanian owned company[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] una jingine mbona kq share hamusemi hapa inamilikiwa na kina nani???
Miaka 50 ndege tatu tu [emoji1][emoji1][emoji1] tafuteni mchawi
Hamuwez post kwasababu munamiliki ndege 3 ๐๐๐๐๐ shirika lina miaka 50 linamiliki ndege3 wakat air tanzania imefufuka juzi ina ndege 8 brand new๐๐๐Usikwepe mada kw maneno ya vijiweni kaka...tulia kwenye mada....
Ywalia na KQ na wakati hatujai post...ywafikiria akiitaja taja tutasahau mada...bado tumpe batoto badogo ba kwetu bwana....[emoji382][emoji382][emoji382]
Mbna unakataa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Reli ndio usiongee kabisa heri utulizane tu kinachojengwa hapa tanzania itawachukua miaka 50 kuipata
Hakuna mtu anaogopa madamu tunajenga the modern electric bullet train in africa hapo utasugua gaga mpaka ujio wa yesu๐๐๐Mbna unakataa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Ama waogopa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilianzishe