Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leased Aircraft

Raha mpka basi nakwambia...mindege utafikiria ni dala dala...na bado inaongezeka tu
Dah ! Yani wakenya mna mambo nyie mnapeleka ndege kila mkoa utadhani ni daladala? Ilihali wenzenu hata ndege ya kitaifa hatuna ,mtuhurumieni bana.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji116] capital airline
 
Jamaaa kapagawa kuona mpka turkana kunatuwa mindege...

Yule aliyeitaja lamu katoweka....namuonjesha tu akatulia
 
We jifariji tu kakangu huku ukimeza vidonge ninavyokurushia.748 air services. Hata KQ ikianguka leo wapo watoto wengi tu ambao watachukua nafasi na kupeperusha bendera in other words tumejipanga my friend.
 
Bado unakuwa mbishi na kuitaja Bukoba?

Utashangaa hata Nairobi inazidiwa mbali Sana hasa hiyo sijui Westgate
 
Jamaaa kapagawa kuona mpka turkana kunatuwa mindege...

Yule aliyeitaja lamu katoweka....namuonjesha tu akatulia
Wamekimbia wote sasa **** boya mwengine anakuja na story za bukoba,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wanafikiria wakenya ni wafukara kama wao? Acha niwarushe roho.
 
Bado unakuwa mbishi na kuitaja Bukoba?

Utashangaa hata Nairobi inazidiwa mbali Sana hasa hiyo sijui Westgate
Umeiona kwanza lamu...nlikuwa nakwambia kila county sai iko na referral hospital ukaleta ubishi...nikakupa turkana,sai ni lamu...na badae ukijichanganya nakupa marsabit...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwamba nawewe nilivyopost hujaona?
 
Aberdair fleets. Hahaaa hawa watoto wadogo Acha niwape syrup maana naona vidonge vinawaumiza. If you are looking for a private jet or helicopter to fly you to your destination, look no further Kenya is here to serve you. Kenya the pride of Africa.
 
Jamaa wamechokoza....wamebaki kuleta maneno ya vijiweni tu....bwahahaaaa

Meanwhile...alilianzisha kuhusu lamu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Attachments

  • construction-lamu-port.jpeg
    35.5 KB · Views: 32
Bro...wamekimbia...[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lkn tukichoka tutawatajie kw brt angalau kidogo waje wajifariji....[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…