Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rais atajwe na forbes kwa matokeo chanya alaf unamchukuliaje ??? Magu hamuwez kumpenda kwasababu kawanyoosha kiaina[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kina nani hao...CHADEMA au....mnake anawapoteza tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kina nani hao...CHADEMA au....mnake anawapoteza tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hamuwezi kumpenda adui yeni hata siku moja kawanyoosha kila sector hamuna hamu naeπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Weka hapa bus stage ya nairobi nasubiria[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] unataka ya bus gani vp au unataka kuniekea bus booking offices[emoji38][emoji38]
Bwahahahahaa....wataka stage za bus gani nikupe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…