Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani mi mwnywe nmeshangaa bana....hyo ndo dar to kibaha...kisha kasema ni phase 1 na 2 zote zipo underconstruction
Ukweli ni kuwa hata hizo video ni za kitambo ila katolewa kwa umma May 2019 na ukweli mchungu ni kwamba ujenzi ulisimama pale Kibaha...Hii ingine ni PR. Pesa kwisha wanaongoja wapate mkopo ujenzi uanze Tena.
 
Video zao ni zile zile...hu update mwezi na tarehe tu
 
Bagamoyo kwa hali ilivyokua haina maana...kama vp waalikeni wawajengee nyie kwa mkataba ule
Labda ni pesa hamna juu hatujasikia upande ule mwingine, yani Kama kangaroo court judgement.
 
Ukweli ni kuwa hata hizo video ni za kitambo ila katolewa kwa umma May 2019 na ukweli mchungu ni kwamba ujenzi ulisimama pale Kibaha...Hii ingine ni PR. Pesa kwisha wanaongoja wapate mkopo ujenzi uanze Tena.

Naomba ufungue uangalie plz mapovu wachiwa mademu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Sipendi ukate tamaa๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Dar to moro

Moro to singida

Naomba ufungue uangalie plz mapovu wachiwa mademu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Hamna cha kuangalia pale tuliona Hii si Mara moja hata na ni upuzi tu. Weka picha tufanye reverse search tuwaaumbue ๐Ÿค”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ