Mzee wa Mtaa
Member
- May 29, 2019
- 37
- 77
Wale jamaa wa kudai wamewahi opportunities wapo wapi? Ikumbukwe South Sudan ishaanza kujongea reli ya Tanzania who knows what next! Pipeline? DRC has already expressed interest on joining Hoima-Tanga pipeline!
Madaraka express inawenyewe[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
πππππππππ
Wakenya wafurahie kuona picha za Sgr tu lakini Sgr ina wenyewe. Hii ni dhuluma wallah.
πππππππππ
Formerly known as:Kenyatta International Hospital c.1901
Largest referral hospital in Kenya and the region for 118years and counting
View attachment 1125990
Mtambo wa chang'aa umeanza kutema!πππππππππ
Kapimwe mkojo ππππππWengine wakitaka kutoka EAC replacement wao tayari tu.. tunawakaribisha DRC katika jumuiya ya EAC View attachment 1125992
Poleni barua halijaandikwa kwa kiswahili kwa wale hawatambui..hii ni kifaransa