Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama gas cbc ft tu 5 watu hatupumui kwa kelele wakati hata robo ya Msumbiji haijafikia ndo iwe mafuta.Hadithi za kufikirika kama za alfu Lela ulela
Tafuteni mchawi anaekula nyama za wakenyaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ bila shaka wengi hawakuogaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

 
Uncountable,we are the big boy of Africa u pretend knowing nothing abt Nai sio
Ahahaha hvi wewe kwa akili yako ya kuzaliwa unaeza fananisha nairobi iingie kwa dar kwenye majengo kweli???πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† yani suala la majengo nairobi bado sana yani mujenge kama miaka 20 hvi muitafute density ya dar
 
Kumbe kuna slum nyingine inaitwa nyeriπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Kumbe kuna slum nyingine inaitwa nyeri[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Nimegundua Kenya INA slum nyingi sana sema wanatuficha tusijue hapo Naii tu zipo zaidi ya 20
 
Na nairobi kuna ngapi???[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]


30+ FL Towers Existing in Nairobi and Dar es salaam:

Nairobi:
1. Britam Tower 1
2. UAP Tower 1
3. Avic Tower 5
4. Prism Tower 1
5. Times Tower 1

Total 9 Towers

Dar Es Salaam
1. PPF HQ 1
2. PSPF Towers 2
3. TPA Tower 1
4. Mzizima Towers 2
5. MNF Towers 2
6. RITA Tower 1
7. Milienium Towers 1

Total 10 Towers.





Lile battle la 30+Floor walitembelea kichwa mwaka Jana . Sema Mchina kawatoa kinyama 🀣 Yaani Tower 5 ,Noma sana .
Wanatakiwa wapige sana domo baada ya Pinnacle (2) Montave(2) na hiyo 88 Tower 1 , Baada ya hizi Tower tano kukamilika. Lakini sasa hivi huwa wanjisahua Wa Nadhani na hizi zimesimama 🀣.

Mchina ashukuriwe hapa .
 

Attachments

  • IMG_0246.JPG
    109.4 KB · Views: 28
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…