Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatuna ubunifu wakati mijengo zenu zinachorwa na kujengwa na wakenya. Jiangalie!
jengo ngapi....?.....na kama mna ubunifu why hizo jengo mnazojenga ni copy n paste ubunifu upo wapi hapo...[emoji3][emoji3][emoji3]

hebu wacha akili za pombe unajikojolea mazee[emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3][emoji3]hana akili huyo jamaa
 
Manina, we Ndio kondooo kabisa, Desinged by K&M But Built by Estim Construction Company. Umeelewa???
na isitoshe walitia tia huruma tukaona ngoja tuwape pesa kidogo ya kuwakimu kimaisha
 
just wait,,by the end of the year utaona venye itatokea,ndio utaamini BRT is in Nairobi
https://www.the-star.co.ke/news/2019-05-10-exclusive-how-nairobi-brt-buses-look/
http://dailyactive.info/2019/05/13/see-exclusive-photos-of-long-awaited-nairobi-brt-buses/
inaelekea mko fasta sana maana kama mnaweza kwenda kunasa picha za mabasi yanapotokea na huku macharia anasema ndio mnaplan.

Wenzio tupo second phase ambayo itakua na two flyovers huku tukiendelea na feasibility ya third phase
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…