Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MArketing strategy. They need to capture TZ market. Kenya wako dominant. Sportpesa na Betin
Sio they need lazima walete pesa kwenye pesa na kwa taarifa yako tanzania kuna ushindani mkubwa wa betting companies zipo zaidi ya kampuni 5 πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Niletee maneno ya CAG aliosema kua pesa zimeibiwa ukipata hayo maneno nitag mm nafunga jamii forum [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Huamini kama tunajenga bullet electric train in africa
Ulipeana dadako ukachoka sasa unataka kuhama JF? Kwanza alipata mume? Maana ulimpea waume wengi tu. Hamjengi electric bullet train,mnajenga electric railways ,Sasa eti wewe ndio umetumwa na CAG na Tanzania yote kuwasemea? Makubwa haya.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Dar ni zile jumba tatu afu ile Barbara moja ya BRT after hiyo unajipata shambani. Anyway nimeutafuta huu Uzi ni Kama unapotea baada ya ule wa Kenyan roads vs Tz dirt roads.

Afu ichoboy01 vipi swimming pools hapo BRT na JNIA???
 
Dar ni zile jumba tatu afu ile Barbara moja ya BRT after hiyo unajipata shambani. Anyway nimeutafuta huu Uzi ni Kama unapotea baada ya ule wa Kenyan roads vs Tz dirt roads.

Afu ichoboy01 vipi swimming pools hapo BRT na JNIA???
Matumaini ya mtu anaekufa na njaaπŸ˜†πŸ˜†
 
Ww ndio unaejenga au sisiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† tatizo lenu hamutaki ukweli nishakwambia mwezi wa 11 subiri ujionee the only bullet train in east africa

Kaa mkao wa kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…