Ziko mall ngapi apa bongo na ipi ni kubwa zaidi kwa sq m..
Nazozifaham
1.Quality center
2.Mkuki house
3.Mlimani city
4.City mall
5.Msasani mall
6.slipway
7.gsm mall
Zingine nisaidien kutaja na kama mko na picha pia itakua bomba, Wanjala yuko na pics kibao za Nai kitu ambacho Ni poa sana
Everything in the world is subject to change and change is good just hold tight to your memories.I Cant believe all is gone, I used to walk this road (Lowerhill Road) when young and sometimes you could be afraid due to the vegetation that made it seem really dark, Below it is a railway golf course that people hardly know exists because it was set deep in the tree cover. Now all is gone, in their place comes a dual carriageway
Huwezi kuliona na utalionaje wakati ulilikwepaBomu lipi hilo ulilonirurishia mie?? Sijaliona bado
Kalidaka sasa na bomu amelikombatia...majanga😀😀😀😀😀😀Watu wakishababi na Alshabaab zenu la haja ni kurusha ma bomu tu, siku moja laja kumlipukia wenyewe
kuna shopperz plaza msasani njia ya kwenda salenda bridge1.Quality centre 30,000sqm
2.Mlimani city mall 30,000sqm after its phase 3 coz inakarbia kuisha ..with phase 4 itakua 49,000sqm
3 Mkuki house mall 40,000sqm
4.City mall 25,000sqm approx
5.Dar free market cjui size but it looks to be more than 25000sqm
6.Shoppers plaza mall cjui size
7.Mayfair plaza cjui size
8.Viva towers kuna mall flr 1 to 4
9.Shamo world tower mbezi beach 7000sqm
10.gsm msasani city mall.... cjui size
11.gsm pugu road mall....cjui size
12.Jm mall City centre ..cjui size
13.Oysterbay shopping centre
14.Sea cliff village
15.The Slipway mall
16.NHC house mall 1st flr to 3rd flr
17.Kibo complex Tegeta.10,000sqm...it is under expansion cjui itafika ngapi.
18.Baraka Plaza mall
19.Diamond Plaza
NB..the term plaza in Tz is same as mall..I don't know why
This below ziko under construction
1.Aura mall Upanga...almost complete to be opened end of this year
2.Penisula plaza mall Masaki 90,000sqm cjajua retail space itakua ngap..but the whole thing is 90k sqm..2018 December or 2019
3.the mall at nhc square . .20,000sqm ..almost complete
4.Skymark mall ,pugu road
5, Mbezi beach shopping mall ...almost complete . .Idk kama ndo offical name
6.Dar village ..they will resume construction . .ilikua on hold 30,000sqm..cording to cowi
Proposed
1.Tanzanite mall...80,000sqm retail space
2.Lapf DAR CITY mall ..to be bigger and better than Mwanza Rock city mall (50,000sqm mall)
3.Ppf Ununio Complex
Kuna vi mini malls au plaza nyingi ndo go abt 5000sqm in Mikocheni like
C&G square
naogopa mwili wako kutumia vibaya maana si jambo lenye staha machoni pa jamii kwa mtoto wa kike kuhudumia wanaume wawili mashababi kwa wakati mmoja.hehehehe what are you so afraid of?
Tanzania ya 2017....[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kawe city towers 40fl × 4 towers + other towers Under construction
View attachment 504794 View attachment 504795 View attachment 504796
Inamaana huyo ni demu??????? Nilikua sijui oya kadoda11 ni demu Huyo????😵😵😵naogopa mwili wako kutumia vibaya maana si jambo lenye staha machoni pa jamii kwa mtoto wa kike kuhudumia wanaume wawili mashababi kwa wakati mmoja.
kwa sasa malizana kwanza na mdogo wangu ichoboy01 .baada ya hapo uje kwangu.
najua kwamba wewe ni mbobevu wa lugha ya kingereza kushinda member wote wa jf,ila hapo kwenye "what are you so afraid of" sidhani kama kulikuwa na ulazima wa kuweka "so" kati ya you na afraid.ilitosha tu kusema "what are you afraid of".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Inamaana huyo ni demu??????? Nilikua sijui oya kadoda11 ni demu Hugo????😵😵😵
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]hydrogen vip inapaswa uombewe....yaan bado upo tu....na hizo sindimba zako....broo vip
Inamaana muda wote nilikua napoteza nguvu zangu kumuelimisha nyako maber anhhh😡😡😡😡😡[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Hiyo ndiyo dsm iko very wide.For sure its bongo
View attachment 504162
bongo tunakimbia aisee.........yaan huu utanuzi wa majengo kila kona ni balaa tumetisha.....hyo ya kawe inakuwa completed mwaka gan?Kawe city towers 40fl × 4 towers + other towers Under construction
View attachment 504794 View attachment 504795 View attachment 504796