Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ bila shaka

 

We wachia hapo hizo zime tosha,
 
We wachia hapo hizo zime tosha,
Awache wapi amebakia kurudia estate na picha ni zile zile πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† kabla yako alikuwepo ndugu yako wanjala ilifkia hatua akakimbia
 
vitu chakavu[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inatosha msamehe ,,ila ukitaka kumdaka ni sehemu moja tu ambapo wakenya wote huwa ukiwauliza wanakimbiakimbia tu kama vichaa kiuhalisia si nairobi yote ina zile hostel estate nikimaanisha kuwa total ya wananchi wanaoishi nairobi si wote wanaokaa kwenye zile hostel estate kwani wingi wa raia wa nairobi hauwezi tosha swali la msingi linakuja hapa sasa je yako wapi makazi ya wananchi wengine wanaokaa kwenye nyumba zao ambazo wamejenga kwa mtindo wautakao..?

huwa hawajibu na hawaonueshi kwani ni vituko na hiyo tukizitoa slum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We wachia hapo hizo zime tosha,
SWALI LA MSINGI

kiuhalisia si nairobi yote ina zile hostel estate nikimaanisha kuwa total ya wananchi wanaoishi nairobi si wote wanaokaa kwenye zile hostel estate kwani wingi wa raia wa nairobi hauwezi tosha swali la msingi linakuja hapa sasa, je mbali na kibera,mama huruma na slums nyingineezo yako wapi makazi ya wananchi wengine wanaokaa kwenye nyumba zao ambazo wamejenga kwa mtindo wautakao..kwani hizo nyumba pia zipo?[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…