Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Kwa akili zako nakutambia Dar kuwa na bahari! wewe ndio mjinga wa kutupwa
 
Ila wewe unahitaji maombezi. Hajasema nairobi kuna bahari, amesema hicho kidimbwi mnasimulate bahari.
Yeah nlicheki jinsi alivyokua anakitupia kdesign fulani hivi akijaribu kupata picha ya kueleweka, ila kwa kuwa akili yake ndogo mpaka afafanuliwe zaidi ndo aelewe that's why mambo yanayotokea now itachukua muda ndo waelewe kumbe walilamba jokeri
 
so unajaribu kusema kwamba Tanzania imenawiri kimchezo kiluliko Kenya ama point yako ni nini Nikka? Hebu nambie mchezo moja ambayo Tanzania inajulikana nayo intentionally apart from umbea na story za vijiweni? Nitajie tu moja then nikuheshimu
Point yangu umeipata, acha kurukaruka kama popcorn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 

Attachments

  • original-1543493138-b47afffdb415122ac126da1f648f7795.jpg
    200.6 KB · Views: 27
  • original-1442052407-3.jpg
    23.5 KB · Views: 24
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…