Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa maongezi yako tu unaonesha ni mtu ulie panicπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† yani kwa dar ya sasa hvi iacheni tu hamuiwezi hata kwa ukucha, lasivo kutapata homa ya dengu bure
As long as that image ni ya Dar, I don't have to prove a point here. Endeleeni kufananisha hicho kijiji na jiji kuu EA
 
Kwa maongezi yako tu unaonesha ni mtu ulie panicπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† yani kwa dar ya sasa hvi iacheni tu hamuiwezi hata kwa ukucha, lasivo kutapata homa ya dengu bure
You keep showing us images of your CBD and nothing else because you know this is how the rest of Dar look like. Hizo ni picha za estates surrounding the city center and those three blue towers are visible in most pictures. Poor Dar!
Bomoeni hizo vibanda mujenge nyumba za maana na planned estates katika jiji lenu kuu. Hii ni aibu!
 
Naona umeamua kuchanganya na picha miji ya watu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† labda nikupe elimu dar hakuna udongo mwekundu warudishie wenye picha zao😁😁😁😁
 
Hzi warudishie wenye nazo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Pole sana ndugu
 
Burudika πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ na jungle of slumsπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ watu wanaishi kama nguruwe
 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Now compare and contrast the images I brought above za dar na hizo za Nairobi and tell me which is a better city to live in

NAIROBI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…