Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamuwezi ikwepa hii thread walikuwepo wenzako kama ww wakina wanjala πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ walishindwa hii thread imewatia aibu kubwa sana na lazma muipitie kujua sasa sio ile tz ya 90s

Ebu jione ndugu, hakuna kazi unafanya, kichwani umejaa tope la ujinga ni kama laana, this thread has lost its meaning because of people like you,
 
Nchi zinazoweza kututisha ni nigeria , SA, Egypt, na Ghana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua ukweli ni nini, its sponsored by sportpesa a Kenyan company, yani tumewaurumia,
Huyu hana hata habari Southampton inakuwa sponsored na sportpesa. Huyu kijana 99% of the time hajui anachoongea. Anaweza kuletea link bila kujua link yenyewe inasema nini. Juzi alileta link Fulani hapa about electricity access in TZ nikacheka sana baada ya kusoma link yenyewe. Huyu kwa kelele hajambo
 
Hahaha daah...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha, now Kenyans lets stop this thread i think we are now wasting our time here, we have already prove the point,
sisi tunafanya kazi, tunalipa ushuru, mbona tuendele kupoteza wakati hapa,
Nijibu haya maswali machache
1.Nitajie mradi mkubwa ambao serikal yenu imeufanya bila kukopa...
2.Shida iko wapi kwann northern Kenya kuna umaskini mkali sana? Hakuna lolote I maana
3.Mambo ya hasara kama rushwa kwann hayakemewi Kenya?

Tuna GDP ndogo walipa kodi wachache,izo chache tuazozipata tunazibana zinafanya maendeleo tunapokwama yunakopa...hapa mnalakujifunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu jione ndugu, hakuna kazi unafanya, kichwani umejaa tope la ujinga ni kama laana, this thread has lost its meaning because of people like you,
Mm kazi yangu naeza kukulisha ww na familia yako miaka 5 mfululizo so usifkiri kila mtu yupo yupo tu humu ndaniπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hehehe safari hii tanzania imewakamata kindakindaki hamuli wala kupumua πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Akikutajia tu nitag nasubiria alaf baadae aje atueleze iko wapi GDPπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hili soko hua linaungua kila baada ya miezi yani wanatiana umaskini kwasababu za roho mbayaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡




Yani kazi yao kutiana umaskini kisa ardhi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…