Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,172
- 107,746
Ya Kenya pia inayoenda Malawi, Zambia na Zimbabwe haitaweza kuihepa Tanzania baba lao. Usitukane mkunga ungali uzazi upo! Ni mwendo wa kukusanya road toll toka trucks za Kenya zinazoenda nchi hizo tatu!Sasa hivi tutatusua 100% mizigo ya malawi wahenga walisema adui yako mwombee njaa
Una kichwa kizuri, husahau.Jirani alisaini mkataba kupitisha mizigo bandari ya Beira. Sasa sijui wataendelea na mpango wao?
https://clubofmozambique.com/news/kenya-mozambique-to-link-major-ports-uhuru/
Zile zilikua njaa za mahindi eti kuikomoa Tanzania kwa kuibypass, toka lini uhuru akaanzisha jambo la maana likafanikiwa? Atulie JPM amfundishe mkali wa hizi kazi.Jirani alisaini mkataba kupitisha mizigo bandari ya Beira. Sasa sijui wataendelea na mpango wao?
https://clubofmozambique.com/news/kenya-mozambique-to-link-major-ports-uhuru/
duh...koro-show tu kufanikisha kashindwa...Zile zilikua njaa za mahindi eti kuikomoa Tanzania kwa kuibypass, toka lini uhuru akaanzisha jambo la maana likafanikiwa? Atulie JPM amfundishe mkali wa hizi kazi.
Kwani uliskia korosho imefeli??? Tuliza akili kwanzaduh...koro-show tu kufanikisha kashindwa...
hawana ubavu huo wao kazi yao kukaa pale kibera na kuimba "sisi ni mido inkamu"kenya iko wapi hapa?
View attachment 1057526
Aliekuambia amefeli nani? Serikali ilitangaza kununua korosho zote za wakulima kwa bei nzuri, sasa wamenunua au hawajanunua?duh...koro-show tu kufanikisha kashindwa...
umesahau..pia ilisema itazibangua..au nimenukuu vibaya...Aliekuambia amefeli nani? Serikali ilitangaza kununua korosho zote za wakulima kwa bei nzuri, sasa wamenunua au hawajanunua?
Is bigger? How?When we tell some of you TZ guys that Nairobi is bigger and better all you do is to make noise and baseless comments, let me shut you the below ranking and learn to get facts right, and whoever post a bad comment about this is a fool,
Global Financial Centres Index - Wikipedia
GFCI report places Nairobi among top 100 cities : The Standard
Wtakuja kuuliza je barabara zinamsaidia nini bibi zao was huko vijijini8-12 lanes
watu wenye maswali ya kipuuzi huwa hawakoseni,kila nchi wapo.Wtakuja kuuliza je barabara zinamsaidia nini bibi zao was huko vijijini
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana.. ujenzi unakimbia, ila sijajua hiyo mifuko ya cement ni ya nini hapo.8-12 lanes
Hio inatumika kutengeneza cement layer ya C1 au tunasema ni sub base ya road hapo kila kibox kinmwagiwa cement moja baada ya hapo inamita mashine inamix udongo na iyo cement ndio tunapata layer nliokuandikia hapo juu mkuuSafi sana.. ujenzi unakimbia, ila sijajua hiyo mifuko ya cement ni ya nini hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuu... hiyo njia ya kati wamesema itakua ya BRT vipi kuhusu vituo vitajengwa na estim au atakuja mtu mwingine?Hio inatumika kutengeneza cement layer ya C1 au tunasema ni sub base ya road hapo kila kibox kinmwagiwa cement moja baada ya hapo inamita mashine inamix udongo na iyo cement ndio tunapata layer nliokuandikia hapo juu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app