Leta bidding process announcement, tupe company awarded to do so ikiwa na details za project nzima ya BRT Nairobi sio unatufanya kama hatujielewi kama weweEvery major project must have renders, hata hiyo brt yenu had renders at some point before it came to actualization. Ama hiyo yenu ilishuka kutoka mbinguni? The render above is Mombasa rd. On the left is Airtel
African headquarters and on the right is Furniture Palace
Clean up this mess before you judgenawaona wakora wanafanya yao
Leta official source kua hapo ni dar๐๐๐ yani dar kuna udongo mwekundu pole yakoClean up this mess before you judge
View attachment 1038301
Kuna maeneo mengine ni vitu by kawaida bro sisi ndio tujipangeDah kilometers 110 ni project kubwa sana na hizo lanes zote itakuwa funiko Africa
Leta official source kua hapo ni dar๐๐๐ yani dar kuna udongo mwekundu pole yako
Nairobi Metropolitan Region Bus Rapid Transit System | Kenya Vision 2030Leta bidding process announcement, tupe company awarded to do so ikiwa na details za project nzima ya BRT Nairobi sio unatufanya kama hatujielewi kama wewe
๐๐๐๐ Hivyo ndio vitu nilivyokuagiza?
...........this comes as a welcome boost for the project that has stalled for more than five months due to lack of funds to buy high-capacity buses and build supporting infrastructure since road markings were done along Thika Superhighway in April. (๐๐๐๐๐๐๐๐)
Bidding process is an internal matter that I can't discus. The articles have clearly stated the company awarded the project so sijui mini tena unataka๐๐๐๐ Hivyo ndio vitu nilivyokuagiza?
Kuna tendering announcement ambayo haiwi published kwenye gazeti? Sasa tenderers wataipataje? Article yako haitaji construction company yoyote zaidi ya beggings and promises.Bidding process is an internal matter that I can't discus. The articles have clearly stated the company awarded the project so sijui mini tena unataka
Mkuu ungetuibia hata vi picha picha kidogoyap merkez wanafanya kazi nzuri sana kwa kipande cha vingunguti-kipawa wanatandaza reli na kuweka electric poles kwa kasi ya ajabu sana..
electric thing loading...please wait..
mkuu sina camera ya ukweli ila nimetoa hii ili kuwajulisha wataalamu wa photo watapita watafanya kitu.usijali bossMkuu ungetuibia hata vi picha picha kidogo
Huyo jamaa anataka kutudanganya sisi akili kubwa...Mimi husema hakuna mtu muhongo kama yule wa Kenya.Kuna tendering announcement ambayo haiwi published kwenye gazeti? Sasa tenderers wataipataje? Article yako haitaji construction company yoyote zaidi ya beggings and promises.
Hivi kwenye makutano ya barabara hapo vingunguti wamejenga underpass au overpass..??mkuu sina camera ya ukweli ila nimetoa hii ili kuwajulisha wataalamu wa photo watapita watafanya kitu.usijali boss
kuna kila dalili ya kuwekwa underpass kwa sababu juzi hapa niliona winchi likishusha maboksi flani hivi ya zege makubwa sana kama hamsini kwa idadiHivi kwenye makutano ya barabara hapo vingunguti wamejenga underpass au overpass..??
Kazi kubwa ilikuwa ni kujenga tuta, sasa hivi ujenzi utaonekana unakwenda kwa kasi kwa kuwa sehemu kubwa ya tuta imesha kamilika.yap merkez wanafanya kazi nzuri sana kwa kipande cha vingunguti-kipawa wanatandaza reli na kuweka electric poles kwa kasi ya ajabu sana..
electric thing loading...please wait..
Zoom alaf tuma tena ๐๐๐๐ leo lazma nikudake tu
๐๐๐๐ Hivyo ndio vitu nilivyokuagiza?