Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Adf ni rahisi kuwamaliza kushinda alshabaab maana adf sio watu wa kujilipua mhangaNikisikia al shabab alafu naona pia wanataka kuingia kwenye misitu minene ya congo kwenda kuwindana na Adf nalu nawashangaa sana aise
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Uliambiwa wanaibinga chakula? Wewe huna Mali ya kujicompare na mpokoti, mvulana wa kipokoti ndio apate mke lazima atoe mahari ng'ombe Mia tano na sio achukue za babake lazima atafute zake na ndio chanzo cha kuiba ng'ombe kutoka Uganda hawaibi eti hawana chakula ila ishara ya kuonesha kukomaa na upo tayari kupata mke.By the way hivyo vibandits ni ushahidi mojawapo kuwa kenya chakula ni shida thats y wanaenda kuiba uganda
Athubutu nini? Mna bahati hampo kwenye mpaka nawao ,wamasai wakwenu wangekua hawana ng'ombe hata moja.Waibe wapi subutu mseven atawaacha hvi hvi kirahisi tu
Kumbuka hawana makazi wala sare pia wanatumia ambushAdf ni rahisi kuwamaliza kushinda alshabaab maana adf sio watu wa kujilipua mhanga
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Adf ,m23 hawana ujuzi wowote na sio watu wakupigana holy war lakini wanawatoa kijasho chembamba, Uganda wapo kule, Tanzania wapo kule, south Africa wapo kule, Burundi wapo kule vilevile Rwanda na bado mmeshindwa na kazi,Acha Kenya tuje tumalize hao watu .nazani mlienda kuiba dhahabu Tu .Kumbuka hawana makazi wala sare pia wanatumia ambush
Kuwa mkweli hivi unajua kuwa majeshi ya Tanzania yanaaminiwa saana na raia wakongo?
Sent using my iPhone using jamiiforum app
wewe jamaa ni mjinga sana. unazungumza kwa ushabiki kuliko hali halisi.Hehehe,we unawafahamu wapokoti kweli? Hao jamaa hawana mchezo,labda museveni atume ndege zake za kivita huko karamojong kwenda kuspy hawa jamaa wakiingia huko bila hilo hawa pokoti watamaliza karamojong wote Uganda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Adf ,m23 hawana ujuzi wowote na sio watu wakupigana holy war lakini wanawatoa kijasho chembamba, Uganda wapo kule, Tanzania wapo kule, south Africa wapo kule, Burundi wapo kule vilevile Rwanda na bado mmeshindwa na kazi,Acha Kenya tuje tumalize hao watu .nazani mlienda kuiba dhahabu Tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona wanazungukwa na njaa na umasikini daily, au sababu wapo failed state??[emoji3] [emoji3]Uliambiwa wanaibinga chakula? Wewe huna Mali ya kujicompare na mpokoti, mvulana wa kipokoti ndio apate mke lazima atoe mahari ng'ombe Mia tano na sio achukue za babake lazima atafute zake na ndio chanzo cha kuiba ng'ombe kutoka Uganda hawaibi eti hawana chakula ila ishara ya kuonesha kukomaa na upo tayari kupata mke.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Uliambiwa wanaibinga chakula? Wewe huna Mali ya kujicompare na mpokoti, mvulana wa kipokoti ndio apate mke lazima atoe mahari ng'ombe Mia tano na sio achukue za babake lazima atafute zake na ndio chanzo cha kuiba ng'ombe kutoka Uganda hawaibi eti hawana chakula ila ishara ya kuonesha kukomaa na upo tayari kupata mke.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Nakuhakikishia sasa hivi Kenya mngekuwa nchi za mabeberu kutusemea jinsi kichapo wangekipata, tatizo lenu Kenya ukimya wa watz mnauchukulia for granted ,trust me hamna watu mamafia na watu wa propaganda kama watz yaani hii ipo natural damuni ,na huu mwendo tunaoenda wa Kenya vs Tz Kenya mmekalia kuti kavu,mana tume declare vita ya uchumi,na tutakula sahani moja na nyie, vichache mshasikia na mmeanza kulialia kama maziwa,confectioneries, balance of payments, mazao , wizi wa madini, ushawishi EAC, Inclusive economy,pipe line,COW SGR, FDI,wahamiaji halamu etc, mana naona kelele nyingi Ila kiukweli ni weupe sana afadhali hata na waganda na wanyarwanda kuliko nyie!!Athubutu nini? Mna bahati hampo kwenye mpaka nawao ,wamasai wakwenu wangekua hawana ng'ombe hata moja.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Acha umama we we nyang'au , ntajie one military operation ambayo Kenya imefanya ikafaulu, hii ligi iachieni your mighty brother TZ, heshima yetu ipo kwa majirani wote wanaotuzunguka be it, Burundi,Rwanda,Mocambique, Malawi,Zambia, Congo, Comoroes, and Uganda, mmebakia nyinyi tunawacheki tu mnavyotolewa kamasi na wavaa yeboyebo.Adf ,m23 hawana ujuzi wowote na sio watu wakupigana holy war lakini wanawatoa kijasho chembamba, Uganda wapo kule, Tanzania wapo kule, south Africa wapo kule, Burundi wapo kule vilevile Rwanda na bado mmeshindwa na kazi,Acha Kenya tuje tumalize hao watu .nazani mlienda kuiba dhahabu Tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha umama we we nyang'au , ntajie one military operation ambayo Kenya imefanya ikafaulu, hii ligi iachieni your mighty brother TZ, heshima yetu ipo kwa majirani wote wanaotuzunguka be it, Burundi,Rwanda,Mocambique, Malawi,Zambia, Congo, Comoroes, and Uganda, mmebakia nyinyi tunawacheki tu mnavyotolewa kamasi na wavaa yeboyebo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi Dusit jeshi zima la Kunyaland limepatwa tumbo la kuhara!Acha umama we we nyang'au , ntajie one military operation ambayo Kenya imefanya ikafaulu, hii ligi iachieni your mighty brother TZ, heshima yetu ipo kwa majirani wote wanaotuzunguka be it, Burundi,Rwanda,Mocambique, Malawi,Zambia, Congo, Comoroes, and Uganda, mmebakia nyinyi tunawacheki tu mnavyotolewa kamasi na wavaa yeboyebo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππMbabaishaji aliyewashauri wajenge SGR ya diesel,angefikiriaga kwa utulivu wakaanza na BRT wangekuwa walifanya kitu cha maana sana.
Sasa angalia hapo WB ndio anategemewa kuwa msimamizi mkuu wa hii show,lakini hata gharama za mradi wote inashindikana kufanya tathmini,yaani hapo wanajipanda kuongeza sifuri wapige cha juu kama kawa.wala hakuna kingine.
Time will tell,Kwanza hapo Kwa siasa tutaweka Bobi wine ndio sasa Uganda ingie mfukoni mwetu jinsi tumeifanya DRC.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
ichoboy01: Hilo la turkana wanaibiana pande zote mbili, lakini hilo la siasa za Uganda lazima influence yetu muifeel kotekote.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Athubutu nini? Mna bahati hampo kwenye mpaka nawao ,wamasai wakwenu wangekua hawana ng'ombe hata moja.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
wewe jamaa ni mjinga sana. unazungumza kwa ushabiki kuliko hali halisi.
your stupid pokot people are using some stupid guerrilla tactics while ugandan army is using modern military tactics.
it doesn't need a rocket science knowledge to know who is going to be defeated if they go to war against one another.
acha ujinga.