Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Godwin Gen: acha longolongo braza sio mara ya Kwanza m7 kutoa Hilo agizo hao pokoti amejaribu kuwazua kwingia kule kwake ameshindwa,huwezi linganisha pokoti bandits na mungiki utakua hujielewi.hawa wakenya ndio zao woga wa kusifu wahalifu, na hii tabia ndio iliyowalea mungiki. ngoja sasa uganda wawaoneshe dawa
Ndio ashatangaza vyuma nje nje munafkiri mutachezea nchi za watu hvi hvi , kama watu wenu wenyewe mumeshindwa usifkiri kwengine watashindwa piaJiliwaze mwaya,mbona m7 kasema shoot to kill? Maana amejaribu hao vijana wamelemea police wake sasa ameamua kuwatumia army.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
hawa wakenya ndio zao woga wa kusifu wahalifu, na hii tabia ndio iliyowalea mungiki. ngoja sasa uganda wawaoneshe dawa
Bandits ambao wanapenda mchezo wa guerillas,na wanaelewa terrain hiyo vema kushinda Ugandan security kitakua kibarua kigumu kiasi sio rahisi hivyo.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Godwin Gen: acha longolongo braza sio mara ya Kwanza m7 kutoa Hilo agizo hao pokoti amejaribu kuwazua kwingia kule kwake ameshindwa,huwezi linganisha pokoti bandits na mungiki utakua hujielewi.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Wao wanafkiri uganda itabaki kuwaangalia tu heheh mseven ameshatangaza chuma nje nje sasa subiri waone
Unajua wakenya ni watu waajabu sana sasa kama wangekua tushio kwann alshabab wanawatoa uharo[emoji38][emoji38]
Wao wanafkiri uganda itabaki kuwaangalia tu heheh mseven ameshatangaza chuma nje nje sasa subiri waone
Unajua wakenya ni watu waajabu sana sasa kama wangekua tushio kwann alshabab wanawatoa uharoππ
Nikisikia al shabab alafu naona pia wanataka kuingia kwenye misitu minene ya congo kwenda kuwindana na Adf nalu nawashangaa sana aise
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Godwin Gen: acha longolongo braza sio mara ya Kwanza m7 kutoa Hilo agizo hao pokoti amejaribu kuwazua kwingia kule kwake ameshindwa,huwezi linganisha pokoti bandits na mungiki utakua hujielewi.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
By the way hivyo vibandits ni ushahidi mojawapo kuwa kenya chakula ni shida thats y wanaenda kuiba uganda
Sasa wanataka tena waende kuwachokoza ADF then wakimaliza hapo wataelekea Nigeria kupambana na boko haramAlshabab ukiwachokoza ndio wana deal na ww lakini kama hukuwachokoza hawana time na ww, kenya iliwafata kwao kupigana ndio maana wanajambishwa kila mara na vipigo vitakatifu
Beautiful!πΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏππππ
Watu walijua BRT is only buses wakasahau ni system[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Time will tell,Kwanza hapo Kwa siasa tutaweka Bobi wine ndio sasa Uganda ingie mfukoni mwetu jinsi tumeifanya DRC.Ndio ashatangaza vyuma nje nje munafkiri mutachezea nchi za watu hvi hvi , kama watu wenu wenyewe mumeshindwa usifkiri kwengine watashindwa pia
Endelea kujipa moyo kama vile mlivoingilia siasa za uganda wakat za kweny zinawatoa mavi[emoji38][emoji38][emoji38]
Hatawafwata Kenya,atakua anawasubiri kule kwake na hawa vijana watajua jinsi ya kuiba ng'ombe bila kufunguliwa na security officials.Subiri utajuonea mwenyewe unafkiri mseven atawachekea au unafkiri uganda haina historia ya vita heheh endelea kujipa matumaini
ichoboy01: Hilo la turkana wanaibiana pande zote mbili, lakini hilo la siasa za Uganda lazima influence yetu muifeel kotekote.Kazi ya wapokot kenya ni kuwaua waturkana na kuchukua mali zao sasa munafkiri na kwengine wataenda kufanya hvo hvo alaf wachekewe,
Museven safari hii kawabana ipasavyo hamuna hamu nae mpaka mlifkia hatua ya kuingilia siasa za uganda wakat siasa za kwenu ni mavi ya kuku[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]