Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii maneno Wakenya hawaongelei kabisa wamenywea kama wamemwagiwa maji ingekuwa hii order imetolewa Tanzania, all hell would break loose! Kenya is a nation full of hypocrisy!

Kama vile hell broke loose na Msumbiji πŸ™„
 
manyang'au yanapoamua kuumbuana wao kwa wao.

wahenga walisema unapozungumza jambo la uongo, hakikisha unakuwa na kumbukumbu sahihi.
View attachment 1021498View attachment 1021499
Baada ya utalii kupigwa mabao na tanzania sasa wanaanza kuleta porojo za black panther kuona dunia itasema vpi kwa bahat mbaya walijisahauπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Basi waende alaf waone sasa kwan tatizo liko wapi unafkiri waganda ni sawa na waturkana kila siku kuonewa tuπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…