Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

 
when i told my foreign friend that this photo was taken in dar es salaam, he hesitated to believe it.

he said this beautiful view on the picture resembles some place in geneva, switzerland.[emoji16][emoji16][emoji116][emoji116]
 
dakika chache zilizopita citizen tv ya kenya, ilikuwa inarusha makala maalumu iliyoangazia mfumo wa mabasi ya mwendo kasi(BRT) wa dar es salaam na namna gani mfumo huo unaweza kutumika nairobi ili kupunguza foleni ya magari barabarani.

licha ya mbwembwe zao, kuna baadhi ya vitu huwa wanakuja kujifunza kwetu. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]


 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡wanatafuta shuka kumekucha

 

Mungiki waliopo humu tu ndio hawapendi kusikia BRT ila wakenya wengine wanatamani sana wangepata style kaa ya kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…