Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

More and more and more and actually more investments for Tanzania
Wawekezaji hawa ni tofauti na wachina wanaowekeza Tanga? Kwa speed hii Tz inaelekea kuwa the biggest cement producer in Africa. Wangepatikana wawekezaji wakubwa watengeneze bati from scratch hapa bongo ili bei ipoe ingekua safi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Terminal iii



















--->> Maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere terminal iii

niliwahi kufikiria waweke sanamu za wanyama mf simba na tembo kwenye parking then waandike welcome to our national parks kama tangazo la kudumu la utalii kwa wageni wote! pia waweke artificial mountain (mt kilimanjaro) kama ule wa pale external kuvutia mandhar zaid! anyway hio michoro na hayo mawe si mbaya!! kudos Tanzania! [emoji1241] [emoji173]๏ธ
 
KARIBU SANA KIJANA PITIA GALLERY YA HII UZI UONE DAR ILIVYO, NDOMANA WENZAKO WAKIMBIA. NAI NI KITONGOJI KIDOGO CHA DAR
Ahh! Laaa, mimi nimesha fika Dar na kwa kweli najua haujafika Nai, so, tunakukaribisha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ