Bila shaka atakua mkenya😂😂😂😂😂Kuna mtu niko naye apa kaona hii picha kaniambia mwanangu dubai ni kuzuri nimebaki namshangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wabongo Mungu anawaona[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 998791
Gx 100 watu wameipiga paranja😂😂😂Hii sio gx100 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] version ya pick up
Sent using Jamii Forums mobile app
wabongo kweli ni watu wenye dharau sana😀. nasikia hii ni zanzibar.Gx 100 watu wameipiga paranja😂😂😂
Ama kweli mjapan lazma azimie
uwanja wa ndege wa "ukundu" wapata mnara. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 998283
halafu tulipokuwa tunajadili kuhusu viwanja vya ndege walikuwa hawaishi vijembe vya kudharau viwanja vyetu.
Please note the difference between international departures and local departures, huo ndio ujumbeUkitaka kujua sisi sio Level yao kwenye Masuala ya Viwanja vya Ndege,
Angalia hii picha nimeipiga jana pale JKIA,
Kuna direct flights to Z’bar, KIA na JNIA,
Na soon tutakuwa na flights za Nairobi- Mwanza,
Imagine Viwanja, yaani kuna direct flights to Dar, Kilimanjaro na Z’bar, wakati Kenya ni Nairobi pekee, hakuna international flights huko sijui kisum au Mombasa,
View attachment 998909
Tatizo lao ni kwamba matajiri wa kueleweka ni wazungu na wasomaliUzuri wanatuelewa