Kinachonifurahisha hawa wanaojiita wasomi hawa majirani wakora hakika siwaonagi kabisa kwenye medali zakimataifa wakipata nafasi hizi....kiasi cha kwamba mpaka napata hofu kuwa hawa jamaa kwenye vyuo vyao kuna vikozi vya ajabu ajabu na inawezekana mtu akawa na degree hata ya kufua nguo na kuanika[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Go go tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116]
Mnarudi kwa id mpya!
Kumekucha sasa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Its currently on going Near where i work,Nasikia Magaidi wamepiga tena kama ile ya westgate mda huu! any info from kenyans?
Sent using Jamii Forums mobile app
Its currently on going Near where i work,
hii thread ingefutwa tu naiona ya kitoto, mnapimanisha maghorofa wakati kila mji yapo na wala si kitu cha kushtusha siku hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
to Any Kenyan out there avoid westlands area
👇👇👇👇👇👇Nasikia Magaidi wamepiga tena kama ile ya westgate mda huu! any info from kenyans?
Sent using Jamii Forums mobile app
poleni sana majirani, that's totally a terrorist act!Its currently on going Near where i work,